ChekoFagia
Senior Member
- Sep 20, 2025
- 115
- 339
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, aliwahi kusisitiza kwamba viongozi wanapaswa kuacha tabia ya kuwaajiri watu kwa misingi ya kufahamiana iwe ni ndugu, rafiki au upendeleo wa aina yoyote kwani hatua hizo zinaharibu na kudhoofisha taasisi za umma.
Kauli hiyo aliitoa wakati akishiriki katika Mkutano Maalum na Mawaziri pamoja na Naibu Mawaziri, uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hazina, Jijini Dodoma, mnamo tarehe 13 Januari 2022.
Pia Soma: Uteuzi wa Wanu na Mchengerwa katika baraza la mawaziri wajadiliwa kimataifa