Kumbukizi: Rais Samia aliwahi kusema Ajira za Undugu, Urafiki na upendeleo zinaharibu taasisi

Kumbukizi: Rais Samia aliwahi kusema Ajira za Undugu, Urafiki na upendeleo zinaharibu taasisi

Hivi usikute alishasahau, na ndiyo maana ameamua kuteua ukoo wake wote ili tu kuzifaidi fedha za Watanganyika waliolala usingizi wa pono! Ahueni teknolojia imemuumbua.
 
Back
Top Bottom