Kilimo ndiyo uti wa mgongo wa uchumi kwa mamilioni ya Watanzania, lakini wakulima na wafanyabiashara wa mazao mara nyingi hukutana na hali ya kutotabirika. Leo bei ni nzuri, kesho imeshuka ghafla. Leo soko limefunguliwa, kesho limefungwa au masharti yamebadilika. Je, hii inatokana na nguvu za...
Tofauti ya mahubiri ya zamani na sasa ni moja
Zamani maaskofu, mapadre, Wachungaji, mitume na manabii nk ilikuwa wanasoma Biblia kwanza kupata mahubiri sasa hivi wanaangalia hali ya siasa nchini na kutungia mahubiri
Ndio maana kuhubiri sasa hivi kumekuwa kwepesi kila mmoja aweza hubiri
Sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.