Katika kipindi hiki kifupi kama miezi mitatu hadi sita, upepo wa kisiasa hausomeki. Matukio tunayoyaona mengine si tu siyo ya Kitanzania lakini yanakinzana na hata mila, utamaduni, umoja wetu kitaifa na hata imani yetu.
Mengine ni aibu hata kuyasema maana ni laana kwa Taifa letu. Viongozi kwa...