upepo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Strictly Syrup

    Tatizo la sikio la kushoto: Kusikia Kelele Kama Upepo Unapita

    Natumaini Jumapili ya Leo ni njema kwenu nyote ndugu, ni jambo la kushukuru. Niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni mpenzi wa muziki sana, napenda kusikiliza na kutengeneza muziki. Sometimes natumia hata robo tatu ya siku kusikiliza muziki na kutengeneza. Lakini kuna tatizo limenikumba kama...
  2. T

    Siasa za Tanzania zinapitia upepo mbaya sana

    Ukiangalia mwenendo wa uchangiaji wa hoja humu ndani ni vigumu sana kupambanua kama mchangiaji ameegemea mrengo gani wa kisiasa yaani kaegemea upinzani ama ccm. Tungekua na magenious ya game za kisiasa basi huu ndio uliokua muda muafaka kujijenga na kutengeneza mkondo mpya. Na nikiri kwamba...
  3. J

    Upepo uliovuma Kunduchi mida ya saa 10 wengi walihisi ni kimbunga Jobo!

    Ilikuwa hatari mida ya saa 10 ukanda wa Kunduchi, Ununio hadi Mbweni upepo mkali ulivuma na pale kwa kondo kuna kijumba kimeezuliwa bati zote. Wakazi wa maeneo hayo walidhani kimbunga Jobo kimeibuka ghafla. Ramadhan kareem!
  4. Analogia Malenga

    Kimbunga cha JOBO chazidi kuikaribia Lindi

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “Jobo” kilichopo bahari ya Hindi kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar. Kimbunga Jobo kimeendelea kuimarika na kusogea kuelekea maeneo ya nchi yetu ambapo leo usiku wa kuamkia tarehe 23/4/2021 kimbunga hiki...
Back
Top Bottom