upepo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Huduma ya Bank Mkononi: Pesa inatumika kama upepo, najuta kujiunga

    Sitakuwa na maneno Mengi! Hii ni ile huduma ya bank mkononi! Nilivyotaka kujiunga kale ka kahudumu ka benki kaliunganisha fasta fasta kwa bashasha! Kumbe wanajua inavyowalipa vizuri huduma hiyo! Nilifurahi sana kuunganisha bank mkononi ili kuepusha usumbufu wa kwenda bank/ATM. Lakini...
  2. P

    #COVID19 Je, ni upepo tu au itakuwa upepo baada ya upepo?

    Eneo lote huku ukanda wa pwani, ni karibu kila familia inauguza, kama sio kila mtu kuugua Mafia iliyochanganyika na homa, kchwa, kiuno n.k Kila mtu ukimsalimu anasema anajisikia homa, sijui kichwa, sijui mwili umechoka n.k Kwanza kabisa nadecrea interest kuwa, Mimi si mwanasayansi na sjasomea...
  3. beth

    Rais Samia: Nitaendelea kuzunguka kuwaambia wawekezaji waje Tanzania

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, "Kama nimekubali kubeba mzigo wa kuongoza hii Nchi, kuna mambo kadhaa yaliyoelekezwa ndani ya Ilani niyatimize. Sitayatimiza kwa kukaa Ofisini Dodoma au hapo Magogoni, lazima nizunguke nitoke nikaonane na watu" Ameeleza hayo leo katika Uzinduzi wa...
  4. mgt software

    Moses Machali Mkuu wa Wilaya Kigeugeu asiyetabilika, harakati zake za siasa zinaangalia upepo ulipovumia

    Wana JF Kama ulikuwa hujui watu waliokuwa wanaaminika kwa misimamo dhabiti ni watu wa kigoma, hawa jamaa huko nyuma walikuwa vyuma sana kupinga uthalimu wowote ule uliokuwa unafanywa na serikali, walikuwa wakali wa hoja, waliaminika sana Kupita maelezo, ugonjwa wa usaliti ulioanzishwa na Dr...
  5. Suzy Elias

    Je, kampuni ya Wind East Africa ya Wamarekani wenye uswahiba na January Makamba kupewa tenda ya umeme wa upepo?

    Kampuni ya Marekani inayojishughulisha na ufuaji wa umeme wa upepo iliyopigiwa debe mwaka 2013 na Rais Obama ili ije kufua umeme wa upepo kule Singida huenda ikapewa tenda hiyo mapema mwishoni mwa mwaka huu ama mapema mwakani. Ikumbukwe ndugu Rashid Shamte ambaye ni boss wa hiyo kampuni hapa...
  6. M

    "Yanga inakata upepo kipindi cha pili"

    Jamani ako kamsemo bado kapo uko mtaani kwenu,,,,,pasi 800 ushindi wa 100% 🙌🙌🙌🙌🙌
  7. M

    Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Yanga inakata upepo kipindi cha pili

    Naona kuna kawimbo kanaendelea kakusema yanga inakata upepo kipindi cha pili, mimi sikubaliani na icho kitu kwakuwa sijaona timu inayokata upepo ikiwa ikiwa inaruusu nafasi za wazi kwa wapinzani kunufaika nazo. Mara nyingi timu inayokata upepo aiwezi ikacheza mechi zaidi ya moja bila kuruusu...
  8. sinza pazuri

    Rayvanny + MacVoice = Nyota ya upepo + Nyota ya moto

    Nimetoka kuchungulia kwenye ulimwengu halisia unaoiendesha dunia...nimekuta Rayvanny ana nyota ya upepo.. nafikiri wote mnafahamu nguvu ya upepo ni invisible ila ukipuliza unaweza kupeperusha mpaka milima. Nyota ya upepo ni pumzi, upepo ni safari ukiwa kwenye maji. Nimemtazama msanii wake mpya...
  9. DR HAYA LAND

    Ni vizuri watu mkawa makini Mtu kama Mh. Mbowe yuko na Mtaji wa watu hivyo kutaka kumpoteza nikujilisha upepo tu.

    Unfortunately hii Serikali inajilisha upepo , kupoteza Fedha na hela za walipa kodi kwa ajili ya kulifuta jina linaoitwa Mbowe ni kujidanganya. Hii ni sawa na mtu kuchota maji mtoni na kuyapeleka baharani. Mbowe yuko na back up ya watu almost Million 30 Tz na nje. Mimi naona hii ligi...
  10. dyuteromaikota

    Tairi zipi zinatakiwa kujazwa upepo zaidi kati ya za mbele na za nyuma?

    Tairi zipi zinatakiwa kujazwa upepo zaidi kati ya za mbele na za nyuma?
  11. R

    Upepo mkali Tanga Mjini

    Jana 24 na leo 25/7 kuna upepo mkali/mwingi sana. Mamlaka ya hali ya hewa toeni tamko la kitaalamu tujihami maana inatisha!
  12. zimmerman

    Serikali inayobadilisha maamuzi yake kwa kutegemea upepo ni Serikali dhaifu, haifai

    Nimeshangazwa na hili hapa kama ni kweli: Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya Hivi inawezekanaje serikali (hapa serikali kwa maana ya watendaji wakuu wa serikali, mawaziri wakiwemo na vyombo vyao vinavyowasaidia katika...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Sakata la majanga ya Moto yanayoendelea yatazima upepo kudai Katiba Mpya?

    Wakuu Kwema! Mfuatano wa Matukio ya Moto Kwa sasa unatafakarisha Sana. Je Matukio hayo yatafanikiwa kupoteza uelekeo wa upepo wa Katiba Mpya? Karibuni tujadili.
  14. bahati93

    Mjusi apata ajali mbaya wakati akipunga upepo

    Kilichomkuta, sidhani kama marehemu alitarajia, maana kaanguka kimo kirefu kutoka kwenye matawi aliyokuwa akipunga upepo. Wenzake walimwona kwa mbali hawakujua hata jina lake. Ama kweli maisha ni kamari. hamna anayeshinda kwenye huu mchezo wa maisha. kwa jinsi navyotazama maisha ya huyu mjusi...
  15. C

    Upepo umegeuka, King Muswat wa Eswatini aikimbia nchi

    Tuna mambo ya kujifunza kwa yanayotokea duniani kwa namna nyingi. King Muswati, wa Eswatini, amekimbia nchi baada ya kuona nguvu ya wanaodai demokrasia imeongezeka. Lakini tukumbuke, Waswatzi, wamekuwa chini ya uongozi wa kitemi, unaompa mtemi wao nguvu kubwa isiyohojiwa kwa mila na mapokeo...
  16. M

    Walio wa mlengo fulani kisiasa, ndio wanaokumbatia Corona maana wanaitumia kufanikisha agenda yao. Sasa wanafuata upepo tu

    Katika dunia hii kuna watu wameikumbatia sana corona na wanaitumia kufanikisha malengo yao!! Kwa bahati mbaya sana kuna mataifa mengi hasa ya kiafrika yanayocheza ngoma wasiyoielewa! Hawajui malengo ya wanaoipiga!! Kuna watu wanafurahia sana kuona mahali fulani maambukizi yameongezeka na wako...
  17. B

    Kundi la vijana ni kama mawingu ufuata upepo

    Vijana Kwenye Mikutano ya kisiasa ujitokeza kwa wingi kwenye kupiga kura kuchagua viongozi hawajitokezi kwa wingi. Vijana wengi wanakimbilia kufanya kazi laini laini kama umachinga badala ya kufanya kazi ngum kama vile kilimo kwa sababu nikundi lenye nguvu
  18. Mallia

    Harmonize ausome upepo mama sio mwendazake hapendi sifa

    Mdogo wangu Harmonize naona jana umeachia nyimbo ya kumsifu mama, ila sidhani kama umeshausoma upepo wa mama kwa sasa upoje, mdogo wangu mama sio kama mwendazake yaani hapendi kusifiwa sifiwa tena akijua ni zile sifa za kujipendekeza Mdogo wangu jikite kwenye kazi zako tu isipoteze pesa kabisa...
  19. Mwande na Mndewa

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ausoma upepo wa CCM

    MWENYEKITI WA CHADEMA, FREEMAN MBOWE AUSOMA UPEPO CCM - Arusha muda huu: "Viongozi wa Chadema waliniambia nina misimamo mikali,nikawaambia kama mnataka misimamo milaini basi naomba nijiuzuru"- Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. NB: Mbowe anaanza kuenzi Legacy ya JPM. "Makamanda wangu...
  20. GENTAMYCINE

    Upepo wa Wiki hii si mzuri sana ' Kinyota ' Simba na Yanga chezeni ' Kiumakini ' mno mechi zenu za ASFC Leo Shinyanga na Kesho Dar es Salaam

    Yanga SC huko CCM Kambarage au Mwadui (Mkoani) Shinyanga ambako mtacheza leo na Timu iliyoshuka VPL ya Mwadui GENTAMYCINE nawaonya na kuwaomba ichezeni kwa Nidhamu na Umakini ili isije ikawa Aibu japo najua Ushindi Kwenu Kiuwezo na Kiufundi ni wa 99%. Simba SC Kesho mkiwa Benjamin Mkapa Stadium...
Back
Top Bottom