Wakati huo huo, Rais wa Marekani, Donald Trump amewataka maafisa wa afya kupunguza kasi ya kuwapima watu virusi vya corona. Akizungumza katika wa kuzinduliwa kwa kampeni yake kuwania kuchaguliwa tena kwenye uchaguzi wa Novemba, Trump amesema maafisa wa afya waachane na mpango huo kwani...