Habari wana JF,
Leo ninawaleteeni sayansi ya upinde wa mvua. Hivi unafahamu ni kwa vipi upinde wa mvua hutokea? Na ni kwa nini watu wakiona upinde wa mvua husema bila wasiwasi kwamba "mvua haitanyesha, si unaona li upinde la mvua lilee"
Naandika mada hii baada ya kusikia kisa cha bodaboda wa...