upotoshaji mitandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanajeshi Mstaafu Seif Miraji Awasihi Watanzania Kulinda Amani na Kuepuka Upotoshaji Mitandaoni

    Mwanajeshi Mstaafu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania (JWTZ), Seif Miraji Mkambala ambaye pia ni msanii wa muziki amewasihi wananchi kulinda amani na kuchukua tahadhari na machapisho ya mitandaoni kwa kuwa Tanzania ni kitovu cha amani duniani. Mkambala amewataka Vijana kujitokeza kwa wingi siku ya...
  2. JamiiForums Tanzania Hili Gazeti la Nipashe ndilo Gazeti limepwa tuzo juzi? Na hapa linafanya upotoshaji wa wazi kuhusu Papa mpya!

    Hii picha ni kutoka Kenya, saaa Nipashe nazani sijui hata kama wana app za kuweza kuta.bua source ya picha au la au wako ki uchwa zaidi. Gazeti kubwa kama hili kufanya upotoshajibwa wazi kabisa ni aibu ni reflection ya jinsi Watanzania tulivyo. Ukweli ndio huo haoo ni Kenya ilikuwa na sio...
  3. JamiiForums Tanzania LGE2024 Msemaji Mkuu Wa Serikali: Serikali haifurahishwi na taarifa potofu katika kipindi hiki cha Uchaguzi. Watanzania fuateni sheria

    Wakuu, Hivi karibuni Msemaji mkuu wa Serikali amejitokeza kuzungmzia uwepo wa taarifa potofu na za uwongo katika kipindi hiki cha Uchaguzi kwa kusema kuwa historia inaonesha kuwa katika kipindi cha Uchaguzi ndipo upotoshaji unakuwa mkubwa mno. My take Hivi Msemaji Mkuu anajua kuwa hamna kundi...
  4. JamiiForums Tanzania "Ujana Dume wako uko wapi?" Rais Samia ahoji maswali mazito watendaji wanaokalia kimya upotoshaji unaoendelea mtandaoni

    Siku chache tangu zisambae picha mtandaoni kwamba kuna wagonjwa wanapelekwa hospitalini kwa kutumia matenga huko mkoani Ruvuma, Rais Samia jana ameamu kujibu mapigo. Akiwa anahutubia jana huko mkoani Ruvuma Samia alisema kuwa anasikitishwa na baadhi ya watendaji wanaokaa kimya pindi taarifa za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…