GE2025 Mwanajeshi Mstaafu Seif Miraji Awasihi Watanzania Kulinda Amani na Kuepuka Upotoshaji Mitandaoni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mwanajeshi Mstaafu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania (JWTZ), Seif Miraji Mkambala ambaye pia ni msanii wa muziki amewasihi wananchi kulinda amani na kuchukua tahadhari na machapisho ya mitandaoni kwa kuwa Tanzania ni kitovu cha amani duniani.

Mkambala amewataka Vijana kujitokeza kwa wingi siku ya Uchaguzi kuwachagua Rais, Wabunge na Madiwani ili kutimiza haki yao ya kikatiba.

Ukifatilia sàna ni Lasaba alafu Muislam.
 
Tunadanganywa sana kwenye hii ishu ya kulinda amani, kwamba wananchi walinde amani huku viongozi wakijilimbikizia mali kupitia huo ujinga wa kuwaambia watu walinde amani.
 
Mwanajeshi Mstaafu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania (JWTZ), Seif Miraji Mkambala ambaye pia ni msanii wa muziki amewasihi wananchi kulinda amani na kuchukua tahadhari na machapisho ya mitandaoni kwa kuwa Tanzania ni kitovu cha amani duniani.

Mkambala amewataka Vijana kujitokeza kwa wingi siku ya Uchaguzi kuwachagua Rais, Wabunge na Madiwani ili kutimiza haki yao ya kikatiba.

Njaa inamsumbua
 
mwana ccm huyo tena msanii 29/10/2025 mwambie atoke tukakomboe nchi kutoka kwa mafisadi
 
Mwanajeshi Mstaafu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania (JWTZ), Seif Miraji Mkambala ambaye pia ni msanii wa muziki amewasihi wananchi kulinda amani na kuchukua tahadhari na machapisho ya mitandaoni kwa kuwa Tanzania ni kitovu cha amani duniani.

Mkambala amewataka Vijana kujitokeza kwa wingi siku ya Uchaguzi kuwachagua Rais, Wabunge na Madiwani ili kutimiza haki yao ya kikatiba.

Mpuuzi hajitambui
 
Mshenzi huyu, anataka kuishi zaidi ili ale pensheni yake ya jeshi. Yeye anaona pensheni ni kitu cha maana sana kuliko demokrasia .s haki.
 
Mwanajeshi Mstaafu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania (JWTZ), Seif Miraji Mkambala ambaye pia ni msanii wa muziki amewasihi wananchi kulinda amani na kuchukua tahadhari na machapisho ya mitandaoni kwa kuwa Tanzania ni kitovu cha amani duniani.

Mkambala amewataka Vijana kujitokeza kwa wingi siku ya Uchaguzi kuwachagua Rais, Wabunge na Madiwani ili kutimiza haki yao ya kikatiba.

Mwambie yeye ni mpumbavu na familia yake.

Walishindwa kuwadhibiti Wanasiasam Watuache wananchi tufanye waliloshindwa kulifanya.
 
Back
Top Bottom