Habarini ndugu Zangu, mwaka juzi nilikuja kuomba msaada hapa jukwaani wa kukosa uwezo wa kishiriki tendo la ndoa. Watu mbali mbali walijitolea kunielekeza matibabu na kunitia moyo, Mungu awabariki sana.
Mrejesho ni kwamba nilipata ahueni mashine ikaanza kusimama ila kwa kubeep. To cut the story...