Msaada: Upungufu wa nguvu za kiume umepelekea nikose hamu ye tendo la ndoa

Msaada: Upungufu wa nguvu za kiume umepelekea nikose hamu ye tendo la ndoa

Atukuzwe Mungu

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2018
Posts
210
Reaction score
280
Habarini ndugu Zangu, mwaka juzi nilikuja kuomba msaada hapa jukwaani wa kukosa uwezo wa kishiriki tendo la ndoa. Watu mbali mbali walijitolea kunielekeza matibabu na kunitia moyo, Mungu awabariki sana.

Mrejesho ni kwamba nilipata ahueni mashine ikaanza kusimama ila kwa kubeep. To cut the story nimetembea sehemu mbali mbali kutafuta matibabu, ikiwemo hospital wakasema Nina upungufu wa hormone ya testosterone. Hivyo wakanipa vidonge vya kumeza (Proviron) kwa mwezi 1. Unfortunately sijapata nafuu.

Nimekuja hapa kuomba msaada tatizo langu la kutosimamisha na kukosa hamu ya tendo la ndoa bado linanisumbua.

Kuna wakati navunjika moyo kutafuta matibabu maana nimetumia gharama kubwa sana tangu kuanza kwa hili tatizo. Hapa chini ni vipimo ambavyo nilipima na kupewa majibu kwamba hormone ya testosterone ipo chini.

Nimetumia dawa zao za sh 90,000 + 60,000 bila nafuu. Sina hamu na tendo la ndoa. Naombeni msaada ndugu Zangu.

Screenshot_20250323-190201_1.jpg
 
Ushauri wangu mkuu achana na dawa za hospitali hazitokusaidia

✅Focuss katika tiba ya lishe na vyakula bora ,zingatia mazoezi ya kutosha, kwa miezi 6
✅Hakikisha unaupa mwili likizo yan usijaribu kufanya tendo la ndoa katika kipindi hiko wala kujichua,pia epuka kuangalia video za ngono
✅Pia jiamini kua nguvu za kiume bado zipo ondoa hofu
 
Asante sana kwa ushauri wako ndugu, nitazingatia.
 
Kuna uzi wa siku kadhaa nyuma

Mwanaume kafanya mazoezi ya kutembea.. Jinsi ya kutembea na umbali.. Tafuta uzi humu.. Labda njia hii itakusaodia kama haujajiharibu na mengi uliyo fanya tayari kutibiwa.. Kila la kheri
 
Habarini ndugu Zangu, mwaka juzi nilikuja kuomba msaada hapa jukwaani wa kukosa uwezo wa kishiriki tendo la ndoa. Watu mbali mbali walijitolea kunielekeza matibabu na kunitia moyo, Mungu awabariki sana.

Mrejesho ni kwamba nilipata ahueni mashine ikaanza kusimama ila kwa kubeep. To cut the story nimetembea sehemu mbali mbali kutafuta matibabu, ikiwemo hospital wakasema Nina upungufu wa hormone ya testosterone. Hivyo wakanipa vidonge vya kumeza (Proviron) kwa mwezi 1. Unfortunately sijapata nafuu.

Nimekuja hapa kuomba msaada tatizo langu la kutosimamisha na kukosa hamu ya tendo la ndoa bado linanisumbua. Kuna wakati navunjika moyo kutafuta matibabu maana nimetumia gharama kubwa sana tangu kuanza kwa hili tatizo. Hapa chini ni vipimo ambavyo nilipima na kupewa majibu kwamba hormone ya testosterone ipo chini. Nimetumia dawa zao za sh 90,000 + 60,000 bila nafuu. Sina hamu na tendo la ndoa. Naombeni msaada ndugu Zangu. View attachment 3291315
Una miaka mingapi?, wenzako wanatamani waache uzinzi wewe unatamani uendeleze uzinzi shukuru mungu Kwa Kila jambo.

Nenda Kwa mwamposa
 
Dili na point ya kuzaliana tuu mana naamini lazima unaweza kumwaga hata kama haisimami vzr, ishu ya kufanya mapenzi kama starehe achana tu

Una miaka mingapi?, wenzako wanatamani waache uzinzi wewe unatamani uendeleze uzinzi shukuru mungu Kwa Kila jambo.

Nenda Kwa mwamposa
31 years mkuu
 
Back
Top Bottom