Msaada: Upungufu wa nguvu za kiume umepelekea nikose hamu ye tendo la ndoa

Msaada: Upungufu wa nguvu za kiume umepelekea nikose hamu ye tendo la ndoa

Kuna uzi wa siku kadhaa nyuma

Mwanaume kafanya mazoezi ya kutembea.. Jinsi ya kutembea na umbali.. Tafuta uzi humu.. Labda njia hii itakusaodia kama haujajiharibu na mengi uliyo fanya tayari kutibiwa.. Kila la kheri
Asante ndugu, ni Uzi gani huo? Naomba unisaidie kuu-tag
 
Naomba niulize je ulikua unajichua???

Kula vyakula vya kujenga mwili fanya mazoez Kwa sanaa punguza mawazo

[emoji847] Ukiwa na mwanamke faragha hakikisha unazifuta shahawa zako vizur wanawake niwashenzi sana [emoji134]
 
Asante ndugu, ni Uzi gani huo? Naomba unisaidie kuu-tag
Imebidi nikusechie maana Nilijua kichwa cha uzi hautajua ina hii topic



Pia sala muhimu sana.
 
Lakini pia nenda hospitali nyingine. Kama tatizo la testosterone kuwa chini ni la kijenetikia unatakiwa kutumia hizo dawa la ku boost homoni maisha yako yote, sio jambo la 'kunywa dawa na kupona'.
 
Upo wapi? Kuna mtaalam yupo Tandahimba, anakutengenezea dozi unatumia Mungu akipenda tatizo linaisha kabisa. Ukihitaji ni-PM nikupatie mawasiliano zake..
 
Naomba niulize je ulikua unajichua???

Kula vyakula vya kujenga mwili fanya mazoez Kwa sanaa punguza mawazo

[emoji847] Ukiwa na mwanamke faragha hakikisha unazifuta shahawa zako vizur wanawake niwashenzi sana [emoji134]
Poor Brain hawa watu wana vita kali na nyeto mkuu sijui imewakosea nini.

Mkuu ujue kujilipua ndio kunaweza rejesha hizo hisia zake zilizopotea, kalaghabaho.
 
Back
Top Bottom