Ulishawahi kutembea na mke wa mtu? ukichoswa na maswali njoo PMHapana mkuu, nilikuwa vizuri tu Tena vizuri sana
Napenda mwanaume dizain hii aise..jikubali..labda mkeo ana high libido!
Yapo magonjwa, lakini mara nyingi tatizo na ufumbuzi ni wewe mwenyewe. Kabla ya ahadi uwe na usawaziko wa akili. Usiende na kichwa kimejaa mawazo zaidi ya ahadi na demu wako. Mawazo ya pesa madeni, stress za kukosa kazi nk nk zitakutoa kwenye reli. Tumia vyakula vinavyo ongeza hamu ya tendo eg karanga, ndizi na kahawa, tangawizi na mihogo.Habarini ndugu Zangu, mwaka juzi nilikuja kuomba msaada hapa jukwaani wa kukosa uwezo wa kishiriki tendo la ndoa. Watu mbali mbali walijitolea kunielekeza matibabu na kunitia moyo, Mungu awabariki sana.
Mrejesho ni kwamba nilipata ahueni mashine ikaanza kusimama ila kwa kubeep. To cut the story nimetembea sehemu mbali mbali kutafuta matibabu, ikiwemo hospital wakasema Nina upungufu wa hormone ya testosterone. Hivyo wakanipa vidonge vya kumeza (Proviron) kwa mwezi 1. Unfortunately sijapata nafuu.
Nimekuja hapa kuomba msaada tatizo langu la kutosimamisha na kukosa hamu ya tendo la ndoa bado linanisumbua.
Kuna wakati navunjika moyo kutafuta matibabu maana nimetumia gharama kubwa sana tangu kuanza kwa hili tatizo. Hapa chini ni vipimo ambavyo nilipima na kupewa majibu kwamba hormone ya testosterone ipo chini.
Nimetumia dawa zao za sh 90,000 + 60,000 bila nafuu. Sina hamu na tendo la ndoa. Naombeni msaada ndugu Zangu.
View attachment 3291315
Usiseme hivyo mkuu, omba Mungu yasikukute. Mtambo kuamka sio lazima iwe willing yako katika mazingira ya lazima.Sikia ndugu yangu Hakuna tatizo la Nguvu za kiume tatizo lako umesha ji setia hvo kwenye akili yako na ndo kinachokutesa kwanza anza kukataa hiyo hali kuwa sina nguvu za kiume alafu uone utashanga tuu unakua sawa .. hakuna atakayekuambia hili
Sawa, Asante mkuuYapo magonjwa, lakini mara nyingi tatizo na ufumbuzi ni wewe mwenyewe. Kabla ya ahadi uwe na usawaziko wa akili. Usiende na kichwa kimejaa mawazo zaidi ya ahadi na demu wako. Mawazo ya pesa madeni, stress za kukosa kazi nk nk zitakutoa kwenye reli. Tumia vyakula vinavyo ongeza hamu ya tendo eg karanga, ndizi na kahawa, tangawizi na mihogo.
Ulishawahi kutembea na mke wa mtu? ukichoswa na maswali nk
Sawa, Asante Japo yote hayo nimeshafanyaChapa tangawizi mkuu, chai ya tangawizi , mdalasini, asali nk.
Inaboost sana libido.
Hapana mkuu, sijawahiUlishawahi kutembea na mke wa mtu? ukichoswa na maswali njoo PM
Baada ya Ushukuru Pesa zako zitaokolewa then wewe unaona as a Problem.Habarini ndugu Zangu, mwaka juzi nilikuja kuomba msaada hapa jukwaani wa kukosa uwezo wa kishiriki tendo la ndoa. Watu mbali mbali walijitolea kunielekeza matibabu na kunitia moyo, Mungu awabariki sana.
Mrejesho ni kwamba nilipata ahueni mashine ikaanza kusimama ila kwa kubeep. To cut the story nimetembea sehemu mbali mbali kutafuta matibabu, ikiwemo hospital wakasema Nina upungufu wa hormone ya testosterone. Hivyo wakanipa vidonge vya kumeza (Proviron) kwa mwezi 1. Unfortunately sijapata nafuu.
Nimekuja hapa kuomba msaada tatizo langu la kutosimamisha na kukosa hamu ya tendo la ndoa bado linanisumbua.
Kuna wakati navunjika moyo kutafuta matibabu maana nimetumia gharama kubwa sana tangu kuanza kwa hili tatizo. Hapa chini ni vipimo ambavyo nilipima na kupewa majibu kwamba hormone ya testosterone ipo chini.
Nimetumia dawa zao za sh 90,000 + 60,000 bila nafuu. Sina hamu na tendo la ndoa. Naombeni msaada ndugu Zangu.
View attachment 3291315
Kuna mzee ninae swax alinisaidiagaHapana, yupo normal tu
Kuna mzee ninae swax alinisaidia
Unamanisha kuwa Mzee anayo tiba? Yupo wapi mkuu?Kuna mzee ninae swax alinisaidiaga
Kuna mzee ninae swax alinisaidia
Unamanisha kuwa Mzee anayo tiba? Yupo wapi mkuu?Kuna mzee ninae swax alinisaidiaga
Sema yupo sumbawangaa ukuu yeye anatumia miziz tuUnamanisha kuwa Mzee anayo tiba? Yupo wapi mkuu?
Sawa mkuuNicheki in box ndugu
Ni tiba ya uhakika mkuu?Sema yupo sumbawangaa ukuu yeye anatumia miziz tu
Ya uwakika lakin vizur zaid mtu ukiongea naye afu yeye ndo anajua vzrNi tiba ya uhakika mkuu?