Msaada: Upungufu wa nguvu za kiume umepelekea nikose hamu ye tendo la ndoa

Huwezi ogopa, ila hizo kero za scandal km huwezi himili, ni jau.
Sasa ukigombea Ubunge/Udiwani utapewa kila aina ya takataka/Scandal,
Ukiwa na moyo mwepesi utakimbia mwanzoni tu.
#Kuwa na moyo mgumu.
 
Pole mkuu uzito wako ni kg ngap na unapatikana wapi na diet yako pia huwa unakula nini?
 
Muhimu kujua historia yako, ili tuone namna ya kusaidiana, shida hiyo imekuanza rasmi lini, una umri gani, umejihusisha na nyeto? Kwa muda gani? Shughuli zako, ratiba yako ya misosi, una kg ngapi? n.k.. Jibu hapa ndipo tujue tunaanzia wapi!
 
Asante mkuu, hili tatizo lilinianza mwaka juzi mwishoni nilikutana na dada mmoja kwa mara ya kwanza after a single enjaculation nikashindwa kuelendelea kama ilivyo kawaida yangu. Then baadae nikaweza na kesho yake asubuhi pia nikaweza Japo kwa shida Sana.

Baadae aliondoka na kurudi kwake, then from there nikawa nakosa hamu ya tendo.

Hapo ndipo nikaanza kutafuta tiba, kwani nilikuwa Kila nikiamka asubuhi haisimami wakati siku za nyuma ilikuwa inasimama Kila siku asubuhi na hata nikivuta hisia kwa mwanamke yeyote lazima isimame au hata nikiongea na mpenzi wangu lazima isimame.

Nimeenda hospital, nimeenda kwa watalamu wa tiba mbadala wengine wamo humu walinipa tiba wengine waliiishia kunitapeli mara baada ya kuwatumia hela. Mungu awabariki Wana JF wenye moyo wa kusaidia. JF ni zaidi ya app yeyote kwenye simu yangu, ila wengine sio waminifu Mwingine Jana tu tena kanitapeli au nimtaje hapa?

So kupitia tiba mbalimbali ambazo nilipata nikaweza kupata ahueni na kuweza kishiriki walau round Moja. Lakini Sina hisia na sex, pia Kila nikiamka asubuhi haisimami kama zamani.

Ili kuthibitisha kama naweza nilimuita Tena huyo mchumba na alikuja tukafanya.

Baadae ndo nikaendelea hivyo hivyo, mara ya mwisho nimeenda mara mbili kufanya vipimo nikifanya vipimo vinne ikiwemo testosterone hormone, Luteinizing hormone, Follicle stimulating hormone, na Glucose.

Vingine vyote vilikuwa sawa isipokuwa testosterone ilikuwa chini dokta akasema inasoma 6 point something badala ya 14. Hivyo akanianzishia dawa zinaitwa Proviron nikatumia kwa mwezi 1 bila nafuu.

Nikarudi Tena hospital wakasema now wanipe Tena niwe nameza asubuhi na jioni kidonge kimoja ila mwanzo nilikuwa nameza kidonge 1 tu kwa siku.

Nikaanza dose Tena imeisha Bado sijapata nafuu. Hiyo ndo historia fupi ya mapito yangu.

Umri wangu ni miaka 32 now, sijawahi kujihusisha na chaputa, Nina kilo 102 urefu 186cm.

I hope nimekujibu mkuu
 
Haya mambo bana sijuj yakoje
Kuna wanaijihusisha na chaputa ila wako frshi tu

Nyie wengne hamjajihusisha ila ndio hivyo dah.
 
K

Kama mtu kakutapeli usione tabu kumtaja, inaweza wasaidia na wengine wasiingie kingi

Kwa sasa unapatikana wapi?
0659445718.
 
Fanya haya mkuu halafu ulete mrejesho:–

1.kunya maji ya limao asubuhi kabla ya kula chochote.

2.achana na wanga kula proteins na legumes kama mbaazi kunde choroko na viazi tamu achana na ugali kula dona.

3.tumia mchanganyiko wa asali mbichi moringa (mronge) na lemon kunywa daily.

4.fanya mazoezi kama una kipando jaribu kutembea kwa miguu.

5.kunywa maji mengi almost 3 litre per day tumia na cayanine (pili pili) zile kubwa.

6.punguza kuangalia pornography na kujichua.

Anza hyo dozi kigoma nikupeleke part two.
 
Habarini ndugu Zangu, mwaka juzi nilikuja kuomba msaada hapa jukwaani wa kukosa uwezo wa kishiriki tendo la ndoa. Watu mbali mbali walijitolea kunielekeza matibabu na kunitia moyo, Mungu awabariki sana.

Mrejesho ni kwamba nilipata ahueni mashine ikaanza kusimama ila kwa kubeep. To cut the story nimetembea sehemu mbali mbali kutafuta matibabu, ikiwemo hospital wakasema Nina upungufu wa hormone ya testosterone. Hivyo wakanipa vidonge vya kumeza (Proviron) kwa mwezi 1. Unfortunately sijapata nafuu.

Nimekuja hapa kuomba msaada tatizo langu la kutosimamisha na kukosa hamu ya tendo la ndoa bado linanisumbua.

Kuna wakati navunjika moyo kutafuta matibabu maana nimetumia gharama kubwa sana tangu kuanza kwa hili tatizo. Hapa chini ni vipimo ambavyo nilipima na kupewa majibu kwamba hormone ya testosterone ipo chini.

Nimetumia dawa zao za sh 90,000 + 60,000 bila nafuu. Sina hamu na tendo la ndoa. Naombeni msaada ndugu Zangu.

View attachment 3291315
Je ulaji wako ukoje ? Unatumia virutubishi vya asili ? Jaribu hivyo hupandisha sana hio homoni, changanya mdalasini, manjano, uwatu, habat soda, vitunguu swaumu na asali kwa pamoja kisha tumia kila asubuhi na jioni, kama kijiko kimoja au viwili

Pia tumia mwani, karafuu na matunda kama ndizi na tikiti kwa wingi, tembea hatua 10,000 kwa siku 5/7. Tumia simu yako kurekodi huo umbali hakikisha unafikia hio target kwa siku 5 kwenye week

Kunywa maji kuanzia 2.5L+ kila siku, acha kufanya mapenzi kwa siku 90, relax na jiamini. Mwisho MUNGU akusaidie urudi kuwa sawa.
 
Sorry, uliwahi kushiriki masterbation kwa muda mrefu au kuangalia Porno?
 
Fanya haya mkuu halafu ulete mrejesho:–

1.kunya maji ya limao asubuhi kabla ya kula chochote.

2.achana na wanga kula proteins na legumes kama mbaazi kunde choroko na viazi tamu achana na ugali kula dona.

3.tumia mchanganyiko wa asali mbichi moringa (mronge) na lemon kunywa daily.

4.fanya mazoezi kama una kipando jaribu kutembea kwa miguu.

5.kunywa maji mengi almost 3 litre per day tumia na cayanine (pili pili) zile kubwa.

6.punguza kuangalia pornography na kujichua.

Anza hyo dozi kigoma nikupeleke part two.
Hapa namba 2 sijakuelewa vizuri mkuu, hapa namba 6 Wala ata sipo kabisa na hayo mengine ni kama vile nimeyaishi sana kipindi napatwa na hili tatizo.
 
Ooooh!!! Asante sana mkuu, naomba nikuahidi kuwa nitaanda huu mchanganyiko na nitaanza kutumia soon as possible.
Kuna app ya kurecord steps nikiwa natembea?
Je ulaji wako ukoje ? Unatumia virutubishi vya asili ? Jaribu hivyo hupandisha sana hio homoni, changanya mdalasini, manjano, uwatu, habat soda, vitunguu swaumu na asali kwa pamoja kisha tumia kila asubuhi na jioni, kama kijiko kimoja au viwili

Pia tumia mwani, karafuu na matunda kama ndizi na tikiti kwa wingi, tembea hatua 10,000 kwa siku 5/7. Tumia simu yako kurekodi huo umbali hakikisha unafikia hio target kwa siku 5 kwenye week

Kunywa maji kuanzia 2.5L+ kila siku, acha kufanya mapenzi kwa siku 90, relax na jiamini. Mwisho MUNGU akusaidie urudi kuwa sawa.
 
Ooooh!!! Asante sana mkuu, naomba nikuahidi kuwa nitaanda huu mchanganyiko na nitaanza kutumia soon as possible.
Kuna app ya kurecord steps nikiwa natembea?
Yes zipo na nyingi ni built in.. kama Samsung wana App inaitwa Health, na simu nyingine zinazo pia cheki tu simu yako
 
Hapa namba 2 sijakuelewa vizuri mkuu, hapa namba 6 Wala ata sipo kabisa na hayo mengine ni kama vile nimeyaishi sana kipindi napatwa na hili tatizo.
Kwenye dawa zote za kuongeza nguvu kuna kitu wanaweka inaitwa nitric oxide ambayo kazi yake ni kutanua mishipa ya damu ambayo inafanya damu uende kwa kasi kwenye uume.

Sasa hvyo vyakula nilivyotaja ukiongeza na matunda pamoja na mboga mboga inafanya kiwango cha nitric oxide level iongezeke na maji kwa pamoja inaitwa blood thinners hii ni mada nyingine ngoja niishie hapo.
 
Yes zipo na nyingi ni built in.. kama Samsung wana App inaitwa Health, na simu nyingine zinazo pia cheki tu simu yako
Nimecheki kwa simu yangu nimeipata, Asante mkuu.
Kwahiyo umenishauri minimum steps ngapi kwa siku mkuu?
 
Back
Top Bottom