MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Fanya mazoezi ya kukimbia na ya kegel. Pia jipe hata miezi miwili bila kufanya tendo wala kujichua.
Habarini ndugu Zangu, mwaka juzi nilikuja kuomba msaada hapa jukwaani wa kukosa uwezo wa kishiriki tendo la ndoa. Watu mbali mbali walijitolea kunielekeza matibabu na kunitia moyo, Mungu awabariki sana.
Mrejesho ni kwamba nilipata ahueni mashine ikaanza kusimama ila kwa kubeep. To cut the story nimetembea sehemu mbali mbali kutafuta matibabu, ikiwemo hospital wakasema Nina upungufu wa hormone ya testosterone. Hivyo wakanipa vidonge vya kumeza (Proviron) kwa mwezi 1. Unfortunately sijapata nafuu.
Nimekuja hapa kuomba msaada tatizo langu la kutosimamisha na kukosa hamu ya tendo la ndoa bado linanisumbua.
Kuna wakati navunjika moyo kutafuta matibabu maana nimetumia gharama kubwa sana tangu kuanza kwa hili tatizo. Hapa chini ni vipimo ambavyo nilipima na kupewa majibu kwamba hormone ya testosterone ipo chini.
Nimetumia dawa zao za sh 90,000 + 60,000 bila nafuu. Sina hamu na tendo la ndoa. Naombeni msaada ndugu Zangu.
View attachment 3291315
Ya uwakika lakin vizur zaid mtu ukiongea naye afu yeye ndo anajua vzr
Ubarikiwe sana mkuu, ibarikiwe JF kwa kuwa watu wenye kujali kama wewe. Naomba nikuahidi kwamba nitafanya haya uniyonishauri. AsantePole chief! Hebu jaribu kufanya mambo haya
1. Dhibit swala la kula epuka ugari mweupe kabisa, ngano nyeupe yaan chapati, maandalizi, mikate, tambi, Wali mweupe, chips weka pemben kwa muda kwanza, mbadala wake Anza penda michemsho zaidi jitahid kutokutumia mafuta, sukari, chumvi. Tumia nyama michemsho Sanaa unapokula supu ya nyama hakikisha unakula na mayai 3 ya kienyeji kwa siku, Samaki, dagaa, mboga za majani yenye mchanganyiko wa bamia, hoho, karot chemsha usiweke mafuta. Ktk ratiba yako ya ulaji jitahid upate mlo mmoja ulio kamilika safiii kabisaaaa na maji mengi.
2. Tengeneza juice zifuatazo iwe ni tamaduni yako kwakufululiza
Maziwa mtindi /frshi tende, ndizi,asali karanga mbichi saga piga asubuh /jion.
Saga pia tangawizi, limao, swaumu,maji, pilipili Manga, karot na asali chuja piga asubuhi /jion.
Nyingine tumia bamia, katakata bamia vipande harafu weka kwenye jagi Tia maji mengi kulingana na wingi wa bamia uwe unakunywa asubuh kabla ya chochote Glas moja, jion muda wa kulala piga glasi moja na kijiko cha asali mbichi.
Tumia chai yenye mchanganyiko huu
Mdarasini wa india
Unga wa mlonge
Tangawizi
Iriki
Limao
Pilipili manga
Kisha Tia asali mbichi tumia kama burudani yako.
3. Jitahid Sana mazoez yafuatayo
Hakikisha unatembea mwendo wa haraka haraka kwa hatua ndefu ukiwa umenyooka hata km 2. NA mwendo wa taratibu km 2. Kisha muda wa kupumzika chuchumaa dk 10 simama fanya hivyo kila mara.
Jitahid push up kidogo
Lalia mgongo mikono weka kiunoni nyanyua miguu dk 10 shush, nyanyua tena! Fanya hayo mambo kama ndio maisha yako kwa mwez mzima Bila kugusa mwanamke utakuja kuleta mrejesho
Oooh!! Sawa mkuu AsanteFanya mazoezi ya kukimbia na ya kegel. Pia jipe hata miezi miwili bila kufanya tendo wala kujichua.
Mewe Ke au Me
Ni kweli kabisa, kunaLeo ndio nimejua threads zipo nyingi sana za topic hii
Wangeweka kama kipengele vhaafya kwa wanawake na wanaume.. Watu she nyuzi zao na wengine wazi some kiurahisi
Ashua hizi zikoje mkuu?, Zinapatikana wapi?Jaribu kutumia hizi dawa za asili. Jaribu ashua zile za asili
Hapana mkuu, Hainipi sehemu ya reply. Hahisi imefungwa nashindwa kukujibuIpo wazi mkuu
Njoo kwangu Nina tiba yako, niko serious.31 years mkuu
Hivii hii ndo huwa wanapewa wale wenye hormonal imbalance? Au inakuaje?Lakini pia nenda hospitali nyingine. Kama tatizo la testosterone kuwa chini ni la kijenetikia unatakiwa kutumia hizo dawa la ku boost homoni maisha yako yote, sio jambo la 'kunywa dawa na kupona'.
Unataka aambiwe yeye ni chakula? Unawajua wabongo weyee? LolBaada ya Ushukuru Pesa zako zitaokolewa then wewe unaona as a Problem.
Mtu mzima unaejijua upo timamu, utaogopa maneno???Unataka aambiwe yeye ni chakula? Unawajua wabongo weyee? Lol
Mkuu kama unavaa chupi/boxers nje ya cotton hili tatizo lazima mtu litampata. Kama vyakula unavyokula nje ya vyakula vya asili hili tatizo kila mtu atakuwa nalo.Hapana mkuu, nilikuwa vizuri tu Tena vizuri sana