Kutoka kwenye msemo wa Charles Bukowski
"Ukiwa hauna mtu anayekuamsha asubuhi, hakuna anayekusubiri usiku, ukiwa unafanya unachotaka huu tunaita ni upweke au uhuru"
Upweke wa kutisha zaidi si ule unaotokana na kuwa peke yako, bali ni ule unaotokana na kutoeleweka;
upweke wa kusimama katika chumba chenye watu wengi, ukizungukwa na watu wasiokuona, wasiokusikia, wasiojua kiini cha kweli cha wewe ni nani. Na katika upweke huo, unahisi kana kwamba unafifia...
Kwakua tayari inasemekana amejiandaa kwa hali hiyo endapo hilo litatokea, na kwamba anayo destination mpya ya uhakika ya kufanikisha malengo yake.
Kwa makusudi,
mgombea huyo anasema na kutenda kinyume na katiba ya chadema ili tu achukuliwe hatua, halafu kisha afanye mass defections aloipanga na...
Mama yangu alikua ni mtu anayenitia moyo sana na kunishauri vitu vingi.
Aliniunganisha na watu wengi
Baada ya mama kufariki wale watu walipotea
Najiuliza Ata ikitokea Leo nimepata shida sijui nitakimbilia wapi
Wanawake wananikataa Kila nae jaribu kumtongoza ananikataa, hakuna ambaye yupo...
Japani ni nchi ndogo mpaka uizidishe mara 2.5 ndo uipate Tanzania (Japan ni 378 km za mraba ukilinganisha na 947 za Tanzania).
Pamoja na udogo wake, japani ina watu wengi karibu mara mbili ya Tanzania (Japan ni 124million ukilinganisha 70mill). Sasa haka kakijiji upweke unatoka wapi?
Bila...
Katika maisha yangu yote sijawahi kuwa na marafiki,na sipendi kabisa masuala ya marafiki,hata nikipata tatizo sina rafiki wa kumwambia mtu pekee ninayeweza kumwambia ni mama tu.
Lakini pia si mtu mwepesi wakueleza hisia ama changamoto zangu kirahisi hata kwa mama,huwa namueleza nikiona kabisa...
Kuna aina maalum na ya kipekee ya watu ambao hawapendi kwenda nje na wanapendelea kukaa kwenye vyumba vyao tu,
Wanapoenda mahali fulani, hukosa upweke wao wenye kupendeza.
Hawa ni watu ambao wana rafiki mmoja au wawili wa karibu na hawaingiliani na mtu mwingine yeyote katika maisha yao...
Mshawishi wa Kibrazili #SuellenCarey, ambaye aligonga vichwa vya habari mwaka jana kwa kujioa kama kitendo cha ujasiri cha kujipenda, sasa amewasilisha kesi ya talaka kutoka kwake mwenyewe huku akisema amekuwa mpweke.
.
Baada ya kukaa vikao kumi na Mwanasaikolojia aligundua kuwa kujitoa kwenye...
Yaani basi tu, nimetafuta kazi sijapata, marafiki wamenikimbia, ndugu nao wapo kimya, hata nikiomba mtaji wananikatalia.
Nahisi kuchoka, nahisi kukata tamaa. Kuna muda nikilala natamani kusipambazuke. Sina baba, sina mama sina babu sina bibi. Muda mwingine naona hata waliopumzika makaburini...
Ukuaji wa Teknolojia ni Mzuri kama ukitumika vizuri. Kwa nini nimeleta hoja hii kwenu?
Unakuta wazazi wote wanachart karibu siku nzima watoto wanaolelewa humo ndani wanabaki kuzunguka zunguka tu. Mama hajali kuhusu watoto wala Baba labda akilia kidogo ndio washtuke kuangalia nini kimetokea...
Kuna wazazi huwa wanaamua kwa maksudi wawe na mtoto moja tu kwa sababu ya kuiga maisha ya utandawazi, kuogopa mimba itaingilia kazi zao maofisini, kukwepa gharama za kulea watoto, kutaka kumpa umakini / attention mtoto moja tu, n.k.
mtoto anakuwa hana kaka wala dada. yupo peke yake, is it fair...
UPWEKE UMEWAANZA VIJANA MAPEMA, UZEENI SIJUI ITAKUWAJE. NI JANGA KUBWA.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Huwezi sema unafurahia maisha ukiwa pekeako. Mtu mpweke hawezi kuwa na furaha. Mpweke ni tafsiri halisi ya maiti inayoishi.
Utoto ni raha kwa sababu utoto unahusisha ushirikiano wa mtoto...
Binadamu yeyote anahitaji kuwa na furaha, pamoja na kuzungukwa na watu mbali mbali ambao watamfanya achangamke na kuondoa au kupunguza tatizo la msongo wa mawazo.
Hii imekuwa ikitokea kwa baadhi ya familia, baada ya kukuza watoto wao na kwenda kujitegemea, na hatimaye kuwaacha wazazi wao wakiwa...
KUINGIA NDOANI NA MTU USIYEMPENDA KUTAKUZIDISHIA UPWEKE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Kuishi mwenyewe ni kazi, kunachosha, kunakufanya uwe mpweke. Hapo Maisha yanapoteza mvuto. Lakini kuishi na Mwenza usiyempenda na asiyekupenda ndio kubaya zaidi na kunaleta upweke zaidi.
Ninaposema...
Habari wanajf.
Leo nimeona sio mbaya namimi nikishare na nyinyi story yangu fupi nilipokuwa shule.
Hatimaye matokeo yakatoka nimefaulu kwenda sekondari.
Nilkuwa si mtu wa kujichanganya sana hivyo sikuwa famous kabisa pia nilkuwa mtiifu sana nafanya kila kitu kwa mda.
Nikiwa form one bado...
Na DaVinci XV
Wakati mwingine hakuna umaskini mkubwa kama upweke wakati wa magagasiko na dhiki, wakati ambao unahitaji faraja ya umoja.
Wale uliokuwa nao kwenye furaha wanapokuacha kwenye Chumba cha Upweke ni majonzi na maumivu makali ya moyo na akili zaidi ya jeraha la msumari...
Utafiti uliofanywa na Ofisi ya Mkuu wa Upasuaji kutoka Idara ya Afya na Huduma za Binadamu ya Marekani umeonesha kuwa watu wanaoshi kwa Kujitenga au kukaa kwa Upweke unaotakana na kukosa Furaha wako hatarini kufikia uamuzi wa kujiua kwa 29%.
Imeelezwa kuwa kutojichanganya na watu wengine katika...
Wazima jamani
Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano, niko mpweke Sana sijui yule kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.