Mtanzania Vivian Larsen aliyekuwa akiishi Nchini Denmark ameripotiwa kukutwa akiwa amefariki nyumbani kwake Nchini humo akiwa peke yake nyumbani huku ikiwa haijulikani ni lini umauti umemkuta wakati mume wake yupo safarini kikazi.
Juhudi za kuwasiliana na Polisi nchini kupata taarifa zaidi...
Natoa ushauri kwa mtu yeyote aliye katika hali ya kupitia machungu (bitterness), kutelekezwa au kukataliwa (rejection), msongo wa mawazo (stress) au mfadhaiko/upweke (depression), aanze kufanya au kufikiria lolote lililo zuri, lolote lililo safi, lolote lenye haki, lolote lenye staha, lolote...
Kuna watu wengi humu wapweke sana. Na wengi wana matatizo ya akili. Wengi sana. Kuna mtu utakuta kiakili anaamini anasemwa yeye tu kumbe ndo afya ya akili ime-shake hapo. Anakuja kuanzisha uzi humu.
" Mnikome sana. Mnanisema mmenizaa nyie?na mkipata shida msije omba msaada mbwa nyie...mtaishia...
Habari za jioni ndugu zangu,
Nimeamua kuja hapa kueleza hisia zangu yawezekana kuna atakayeguswa na Mimi.
Mimi Nina miaka Kati ya 30-36 naishi Dar es salaam, nimekuwa mpweke Kwa muda mpaka nimechoka sasa, naomba mwanamke yoyote aliye mpweke kama Mimi tuungane na kupeana kampani, umri wowote...
Guys hi kitu inaitwa solitude (upweke) ni kibaya sana, it's healthy but harmful as well.
This year sababu ya upweke nljikuta nmeingia in a very toxic relationship, huwa inanitesa sana psychologically sababu huwa nashindwa kuwa na power of letting go especially nikimzoea mtu, in nature mimi ni...
1. Uwe tajiri mwenye bilioni+ yako lakini ni mpweke, watu pekee unaoweza kuwa nao ni wale wa kununua kama bidhaa ama kujifanya wapo karibu na wewe ili wafaidi pesa zako (machawa, wapambe, gold diggers)
2. uwe n mshahara wa laki 2 lakini una marafiki na ndugu kibao wanaokujali licha ya hali...
Wazazi wengi, wanajitahidi sana kusomesha watoto wao ili huko mbeleni wawe na maisha mazuri au wasiwe tegemezi.
Watoto wakishahitimu, uanzisha maisha yao, kwa kujitegemea pamoja na kuwa mbali na wazazi wao; wakuoa wataoa, na wakuolewa wataolewa.
Changamoto inayojitokeza, ni wazazi kubaki...
Habari zenu ndugu zangu!!?
Mimi ni mwanaume wa miaka 35 sasa, nimekuwa sipo katika mahusiano Kwa muda mrefu kiasi na sasa nahitaji nipate Mwenza Kwa ajili ya kuendelea na Maisha ya mahusiano, mapenzi mpaka ndoa.
Natamani Sana nipate mtu sahihi ambaye tutapenda tutakuwa marafiki she is...
Kuna ile hali mtu hufika hahitaji date, hautaki mapenzi, hapendi, Unakuwa hauna nyege, haupendi mastory Sana. Yaaani una kuwepo tu na maisha yako.
Hivi hii kitaalamu inaitwaje....? Na hutokana na Nini....? Na faida na hasara zake ni zipi....?
Nawasilisha
Nimeanza mwaka nikiwa single.
Niliamua kuachana nae rasmi usiku wa mwaka mpya baada ya kuvumilia mwaka mzima. Jamani upweke nyie ni noma😞😞. Mbaya zaidi sijakaa vizuri nikaibiwa simu, natumia kitochi siwezi peruse mtandaoni tena zaidi ninapokua kazini.Upweke unazidi kuongezeka!
Sihitaji...
Kuna Muda unaweza komaa mwenyewe ukajifanya mwamba kwamba we ni kidume Kama maziwa utapata tu hakuna haja ya Kufuga ila nimegundua ni kujidanganya!!
Ukiugua gafla lazima uwe na mwenza wa kujua hali yako!!! Bila Kuoa au kuolewa hupati heshima stahiki kabisa Kama wengine wenye Ndoa...
Habari,
Kwa masikitiko makubwa baada ya kugundua mke Wangu anamahusiano mengine na kuamua kuondoka baada ya ugomvi mkubwa.
Sasa tukiwa naprocess kumpa talaka na mimi nikiwa nimebaki na watoto (under 7years). Naanza ku experience mateso makubwa kwakuogopa kukaa Karibia na wanangu kwakuulizwa...
FAHAMU SABABU ZA UPWEKE NA MADHARA YAKE
Hisia za upweke huwa zinakuja pale unapohisi kuna kitu huna ili uweze kuwa na furaha
Kitendo cha kutamani vitu kutoka nje yako ili uweze kuwa na furaha husababisha huzuni na hasira
Unaweza kutamani kuwa na mtu karibu,kuwa na kipato kadhaa,kazi...
Nimekuwa Single muda mrefu aisee kuwa Single kwa mtu mzima basi tu ila unaona kuna kitu umemisi bored, stressed...ukiwa mtu mzima sense of belonging muhimu.
Japo mambo yaja settle...nataka niingie kwa mtoto mmoja wa Stationary huyu manzi yupo Humble sana ndicho kilichonivuta mtu fulani kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.