Yaani basi tu, nimetafuta kazi sijapata, marafiki wamenikimbia, ndugu nao wapo kimya, hata nikiomba mtaji wananikatalia.
Nahisi kuchoka, nahisi kukata tamaa. Kuna muda nikilala natamani kusipambazuke. Sina baba, sina mama sina babu sina bibi. Muda mwingine naona hata waliopumzika makaburini...