Baada ya ku-graduate nikaona nianze kufanya freelance, ili nijipatie japo hela ya vocha kwa kufanya programming (web dev). Nikaingia Upwork kwa mbwembwe na huge expectations, eeh bana eeh!
Kazi inatolewa kutengeneza website yenye page 5, halafu malipo ni $5 (kama 12000 hivi). Kwa watu wa...