Wanaijeria waanza upya kurusha madongo kwa Burna Boy wakidhihaki muondoko wake tata akiwa jukwaani
Wanaijeria wamedai kuwa muondoko wake akiwa stejini unafanana na wa G*Y huku wakidai shutuma zake juu ya P Diddy zilikuwa za kweli na wala hawahisi kama walimuonea
Wengine wamedai mtu akishakuwa...
Huwezi kuwaambia freshers wajiajiri wakati hakuna hayo mazingira kuanzia kwenye kodi hadi kwenye mazingira.
Mfano, Canada, wahitimu wanaweza kupeleka business Proposal yao kwa Wizara husika, mainjinia; kuomba ufadhili wa pesa wenye riba nafuu, gvt ikielewa proposal yenu mnapewa fund...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa miezi kwa miwili Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhakikisha vitambulisho milioni moja na laki mbili ambavyo tayari vimeshatengenezwa vinasambazwa na kuwafikia Wananchi walengwa.
Waziri Bashungwa amesema hayo leo Disemba 17...
Kila siku nasema kuwa akili ni nywele.
Ukiwa na akili timamu, utajua tatizo ulilonalo ni lipi na utaweka na kutekeleza mipango sahihi ya kulitatua hilo tatizo.
Wenzetu Kenya waligundua wana tatizo la mipango miji, kwa maeneo mengi kujengwa vibaya bila mpangilio na kufanya wananchi wengi kuishi...
Nitawastaafisha so called majaji na kuajiri judges kutoak nchi zilizobobea katika common law jurisprudence
Why?
1. Wa hapa wameshakuwa machawa wa CCM, they will never give a righfull judgment.
2. Wengi hawana sifa za kuwa majaji! Waliwekwa pale kwa kujuana na CCM/watawala PARTICULARLY...
Hawa waasi wa Syria wamepata nguvu kutokana na mambo makuu mawili
1. Kushindwa kwa Hezbollah huko Palestina. Hezbollah ndo walikuwa kikwazo kikubwa kwao
2. Hali mbaya ya Iran pamoja na Syria
3. Vita vya Urusi na Ukraine. Sababu hawa ndo marafiki wakubwa wa Assad jemedari wetu. Kwa sasa Russia...
TAARIFA KWA UMMA
UCHAGUZI UBATILISHWE NA KUITISHWA UPYA
TAARIFA YA AWALI YA KAMATI YA UONGOZI TAIFA YA CHAMA CHA ACT WAZALENDO KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, VIJIJI NA VITONGOJI 2024
Kamati ya Uongozi Taifa ya Chama cha ACT Wazalendo imekutana kwenye kikao chake cha dharura jana tarehe...
Nimeshanganzwa na makato mapya toka bodi ya mikopo kwa mshahara uliopita na Kwa watu wengi tu wamekatwa ambao walishalipa tayari sijui tukapewa na certificate of nini ?.
Nolipojaribu kuwasiliana nao majibu yao wanasema hiyo ni retention fee hili limenishangaza sana na nimewapa statement ya...
Ukibaini umekosea chaguo/njia basi usiogope kuanza upya, maana hata watu sahihi au wema hukosea chaguo kwasababu ya ubinadamu walioumbwa nao au wamesababishiwa na mtu
Mahusiano yanatakiwa yawe daraja la maisha yako wala si ukuta wa kufupisha au kuharibu maisha yako. Ukiona mahusiano uliyonayo...
Usipoteze mtaji wako, ukuze kwanza, Milioni 10 Haitoshi kabisa kuja China na kutengeneza faida kwenye biashara yako.
Hapa ni makadirio ya gharama kama unakuja china.
Ata uwe na connection Passport na Visa ni zaidi ya laki tatu... ( 300,000)
Nauli ya ndege kuja na kurudi 2.5 _3M ( kutegemea na...
Mimi Bushdokta kwa muda mrefu sasa nimekuwa msomaji wa Biblia na kufatilia mafundisho ya Neno la Mungu na Ibada mabli mbali pamoja n harakati za injili.
Ktk kufanya hivyo ilifika mahali nikataka kukata tamaa. Kulikuwa na hofu kwamba huenda huyu Mungu anayehubiriwa ni Mungu Dhaifu asiyeweza vitu...
Mwezi wa Uhamasishaji wa Usalama wa Mtandaoni si kwa watu binafsi tu—pia ni wakati muhimu kwa biashara na mashirika kutathmini upya mikakati yao ya usalama wa mtandaoni. Mashambulizi ya kimtandao kwa biashara yanaweza kuwa na madhara makubwa, ikiwa ni pamoja na wizi wa data, athari za kisheria...
Seriously !! Iran walichoweza hadi sasa ni kuua mplestina 1, Kupania kote kule kurusha makombora 200+ wameua mpalestina moja ?
Israel
Helikopta ya Rais wa Iran iliopotezwa mawinguni asubuhi, wataalam wabobezi wa Iran na Uturuki walihangaika sana kuitafuta siku nzima wakaja kuipata usiku wa...
RAIS SAMIA AAGIZA BARABARA YA SONGEA - NJOMBE - MAKAMBAKO KUANZA KUJENGWA UPYA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Ujenzi kukamilisha maandalizi na kuanza kujenga upya barabara ya Songea - Njombe - Makambako (km 295) pamoja na ujenzi wa...
Kwa msiojua, wazungu wameshaanza kutoa dozi, wanaminya mpunga, na hazina kumeshaanza kuchoka. Maofisi ya serikali yameanza kupokea pesa kiduchu kwasababu hakuna pesa, kipindi cha jiwe alileta jeuri wazungu wakabana pua yake, tukaishi maisha magumu na ya kujitesa sana.
kwa mwenye akili...
Yanayoendelea sasa kwa baadhi ya askari wa jeshi la polisi ni matokeo ya watu kufanya kazi wasiyoipenda. Hawawezi kuifanya kwa ufanisi.
Hapo zamani za kale kimbilio la waliokosa ajira ilikuwa fani ya ualimu. Kilichotokea ni kushuka kwa kiwango cha elimu nchini kwasababu ya kukosa morali ya...
ajira jeshini
askari
askari polisi
kazi kwa moyo
kichefuchefu
kuipenda kazi
naomba
police
simbachawene
ukatili wa polisi
upya
usalama wa taifa
uwajibikaji jeshini
vyombo vya ulinzi
wahalifu
watu wasiyojulikana
Ndio maana nchi yetu wanaotajirika zaidi ni wahindi, waarabu, wakenya, chinese, n.k. sisi tumebaki kujisifu nchi yetu tajiri lakini hatunufaiki na huo utajiri, imahine majirani Kenya ndio wanajulikana zaidi kuuza maparachichi nje kumbe wanayatoa huku kwetu, madini ya Tanzanite dili ndefu...
Kwa mujibu wa utumishi wa umma, mtumishi anatakiwa kukatwa kodi kwa kile anachokipata kwenye mshahara wake. Kama tunavyofahamu kodi nimuhimu kwa taifa lolote, lakini changamoto ya kodi hii ni maumivu kwa watumishi ktukana hali ya kupanda kwa gharama za maisha hasa mfumuko wa bei, mishahara ya...
Ndugu zangu natumaini mnaendelea salama kwa wale wenye changamoto ya kiafya na kiuchumi Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi . Amina
Bila ya kupepesa macho huu ni ukweli usiopingika kwamba mnao endesha magari machafu mnalaana za uchafu uliokithiri kupita kiasi. Hakika mmelaaniwa
Ndugu zangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.