upya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mambo haya yakikutokea kwenye maisha yako lazima upate furaha ya ajabu utahisi maisha yako yameanza upya

    1. Ukipata mpenzi mnaependana sana. 2. Ukipata mtoto wako wa kwanza. 3. Ukifunga ndoa. 4. Ukinunua gari lako la kwanza. 5. Ukifaulu form4 au form 6 (vilaza wenzangu watanielewa) 6. Kuhamia nyumbani mwako baada ya kuishi kweny za kupanga 7. Majibu ya kipimo kurudi HIV negative baada ya...
  2. Nawaalika nyote kuzaliwa upya kisiasa, kijamii na kiuchumi Krismasi hii

    Wapendwa sana, wanafamilia wa JF. Salamu. Mara baada ya salamu, Nashukuru Mungu kwa niaba yako na yangu, kwa kibali cha maisha, zawadi ya uhai na afya anazotujaalia. Karibuni sana nyumbani kwangu mkiwiwa kwa biriani la Christmas. Wapendwa, Christmas hii tukazaliwe upya kiroho na kimwili na...
  3. Ama kweli Wydad wakubali kuanza upya kuijenga timu yao, kwa timu hii waliyonayo na uchezaji wao kazi wanayo!

    Hii wydad ni Kama timu ya daraja la 4 kule lindi, ni ngumu sana timu Kama hii kutoboa popote pale kwa aina ya mpira wanaoucheza. Wanacheza Kama vile wameshinda wao, Awana mipango, wanakosa nafasi za wazi kabisa kana kwamba wamevuta bangi zimewalevya, ni aibu! Simba msijisifu kumfunga wydad...
  4. Hili la nauli Serikali iliangalie upya yaani ongezeko la Tsh 15,000/ kweli!? Nauli kutoka 38,000 hadi 53,000 jamani kweli!? Mbona mmekuwa wabinafsi?

    Hivi hii ni makusudi au ninini, au kuna mbinu ya kumkomoa Mh Rais kimya kimya baada ya kujua sio mfuatiliaji wa maswala kama hayo? Hilo ongezeko la kiwango hicho limekuwaje? Yaani sehemu uliyo kuwa unasafiri kwa elfu 10 saihiz ni elfu 15 sehemu uliyo safiri kwa 40,000 sasa hivi ni 55,000, hivi...
  5. Ndugu unaempa mtaji ajitegemee anaanza upya kukuomba pesa hana mshipa wa aibu?

    Ni ndugu yangu mwenye miaka 26, kamaliza chuo mwaka juzi. Hapo zamani mara kwa mara alikuwa akiniomba pesa za kutatua shida zake, hizi elfu 20 nimemtumia sana. Nikaona isiwe taabu, kitu anachoomba ni kama samaki naowavua basi nayeye nimpe ndoano awe anajivulia, Tulikaa chini pamoja nikamuuliza...
  6. Vita vikali vinapiganwa upya Kaskazini na Kusini ya Gaza. Inashangaza

    Waandishi wengi wa habari pamoja na wa BBC wameripoti kuwa vita vikali sana vinapiganwa baina ya majeshi ya Israel na Hamas na kwa mshangao mkubwa vita hivyo viko pande zote mbili za Gaza, kusini na Kaskazini. Mshangao wa mwanzo ni kuwa Hamas baada ya miezi 2 hawajaonekana kurudi nyuma au...
  7. R

    Je, CCM ilisajiliwa UPYA ulipoasisiwa mfumo wa Vyama vingi Julai 1992?

    Salaam, Shalom! Swali hili nimekuwa nikujiuliza kitambo sasa kuwa, Ulipoasisiwa mfumo wa Vyama vingi July 1, mwaka 1992, CCM iliyokuwa chama pekee katika mfumo wa chama kimoja, ilipata usajili UPYA na kujitenga na kujishikamanisha na system? Maana ukikiangalia chama hiki Kwa nje ni kama chama...
  8. TAMISEMI kushughulikia miundombinu ya shule za umma liangaliwe upya

    Hujambo ndugu? Nimetafakari kwa kina uamuzi wa serikali kuziweka shule za umma chini ya usimamizi wa TAMISEMI hususan miundombinu yao ninaona ni uamuzi unaohitaji kupitiwa upya. Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mujibu wa ibara 1415 na 146 za Katiba ya JMT (nimenakili hapa...
  9. S

    UONEVU: Tanesco Arusha pitieni upya migawo yenu

    Habari wakuu humu ndani. Tangu asubuhi wamekata huduma yao mitaa ya nane nane, jioni wakurudisha dakika 5 wamepita nao hadi muda huu lakini mitaa mingine umeme bado wanao. Ni utaratibu upi unatumika kwenye migawo au hadi na sisi tumsubili Mwenezi akizuru Arusha tumpe kero zetu kuu?
  10. Kitanda kinazaa haram, sheria ya kupima DNA iangaliwe upya

    Habari wana nzengo, Sheria ya kupata kipimo cha vinasaba (DNA) hapa Tanzania ina mchakato mgumu kidogo. Ni kwamba ni ofisi maalum zinaweza kuomba kupata vipimo hivyo tu, katika kutekeleza majukumu yake. Either ni mahakama katika kutatua mgogoro, polisi katika uchunguzi, ofisi ya ustawi wa Jamii...
  11. Kama unamuamini Mungu na huamini haya mambo matano ni afadhali uache kumuamini au uanze upya

    1. Miujiza Miujiza na uwezo wa Mungu kufanya kitu ambacho kibinadamu hakiwezekani. Mfano Kufufua mtu aliyekufa, kutembea juu ya maji, kupasua bahari, e.t.c kama huamini miujiza humiamini Mungu. Ni afadhali uache kuamini uungane na wapinga Mungu au uanze upya. 2. Kiyama cha dunia hii Hii...
  12. Sheria ya droo (sare) kwenye mpira wa miguu iangaliwe upya

    Wakuu mpo? Naamini wengi tunaangalia mechi inayoelekea mwishoni kati ya Chelsea na Man City ila pia huenda tunnangalia mechi inayoendelea kati ya Lazio na Roma ambayo huenda ikaisha kwa suluhu ya 0-0. Hivi kwa logic ya kawaida ni sahihi Chelsea na Man City walifungana 4-4 wapate point moja...
  13. UDSM pitieni upya mfumo wa wanafunzi kusaini pesa ya kujikimu

    Habari wakuu, moja kwa moja niende kwenye topic chuo kikuu Cha udsm kimekua na utaratibu wa kuzuia wanafunzi kusign pesa za kujikimu mpaka pale mtu awe anemaliza kulipa ada pamoja na direct cost. Huu mfumo haujakamilika kwasababu Kuna wanafunzi wa Hali ya chini wanategemea kulipa ada kwa pesa...
  14. Tunahitaji Rais Mzalendo 2025 aupitie upya Mkataba wa DP world

    Uwekezano wa kuingizwa mjini na Samia ni mkubwa sana. Tunahitaji tumpate Rais wazalendo 2025 akauchunguze huu mkataba wa Bandari. CCM Hawaaminiki na hawajawahi kuaminika kamwe. Mpaka 30 iishe robo tatu ya tuliomo humu aidha tutakuwa tumeshakufa au tu wazee sana. Hiyo miaka 30 ikiisha hakuna...
  15. S

    Tafsiri ya sentensi "Kuajiriwa upya check namba

    Habarini wadau, Mimi ni mdau nilie kwenye utaratibu wa kurejeshwa kazini. Nina barua yenye check namba..... inanitaka niombe kazi nionapo tangazo limetangazwa ili niweze kurejeshwa upya kwenye mfumo HCMS na kuweza kupangiwa kituo Cha kazi. Swali je nikiomba tu psrs au mamlaka yoyote ya ajira...
  16. Putin aomba msaada kwa kiongozi wa zamani wa Wagner, aomba wajikusanye upya

    Jamaa ameishiwa hadi imebidi aokote okote..... Russian President Vladimir Putin has instructed Andrei Troshev, the former head of the Wagner Group, to start forming "volunteer units". Source: Russian Interfax news agency, with reference to Putin's statement during a meeting with Troshev...
  17. Simiyu: Kesi ya Askari kumjeruhi kwa kumpiga mtoto wake, iliyofutwa, yarejeshwa Mahakamani upya

    Kesi ya Jinai Na 08 ya Mwaka 2023 iliyokuwa inamkabili Askari wa Jeshi la Polisi H.4178 Abati Benedectio wa Kituo cha Polisi Bariadi Mkoani Simiyu kutuhumiwa kumpiga hadi kumjeruhi vibaya mtoto wake mwenye umri wa miaka 7 (jina linahifadhiwa) imerejeshwa tena. Askari hiyo Februari 17, 2023...
  18. EWURA waangalie upya kutangaza bei ya mafuta

    nafikiri EWURA waangalie upya huu utaratibu wa kutangaza bei ya mafuta Kila mwezi
  19. Profesa Lipumba: Hakuna haja ya elimu ya uraia kuandika upya Katiba

    Profesa Lipumba amesema kuwa hakuna sababu ya kutoa elimu ya uraia kwa wananchi kwa miaka mitatu ili kuandika upya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Profesa Lipumba ameongeza kuwa Tume ya Jaji Warioba ilishatoa ufafanuzi kuwa wananchi wanaelewa aina ya katiba wanayohitaji na hakuna...
  20. Taratibu za kurenew passport ziangaliwe upya

    Napendekeza passport ikiisha muda wake au kujaa; mtu apewe nyingine kwa taratibu rahisi kwa sababu anafahamika na sio kuanza mlolongo wa maombi mapya kama mtu ambaye hajawahi kumiliki passport Nafikiri mtu angetakiwa tu awakilishe copy ya NIDA na pengine kuwepo na fomu rahisi ya kujaza vile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…