urafiki wa kudumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Leo mnamaliza kikao Nakuomba Jin ping kuwa makini na hawa watu hawana urafiki wa kudumu.

    1.Kamwe usiache kumpa silaha Iran 2 kamwe usikubali mikataba ya kununua mafuta kwao.
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwenye siasa hakuna uadui au urafiki wa kudumu. Lakini kwa Luhaga Mpina hapana.Hajatumwa na CCm

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM kwa zaidi ya miaka 20, Luhaga Mpina sasa kaondoka kwenye Chama hicho na kujinga na ACT Wazalendo, huko amefika tu na kupewa nafasi ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu ujao Kwa kipindi chote akiwa CCM, Mpina alikuwa mpinzani wa ubadhirifu wa mali ya...
  3. JamiiForums Tanzania Je, kitu gani kilikufanya ukosane na rafiki yako?

    Katika maisha tangu tunakua mpka tunafikia hatua ya utu uzima tunakutana na watu wa aina mbalimbali,miongoni mwao wanakuwa ni marafiki wetu wakubwa sana lakini kutokana na changamoto za hapa na pale tunajikuta tumehitilafiana pakubwa na kila mtu anashika 50 zake. Mimi nilikuwa na rafiki yangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…