GE2025 Kwenye siasa hakuna uadui au urafiki wa kudumu. Lakini kwa Luhaga Mpina hapana.Hajatumwa na CCm

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

jindundu

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2025
Posts
679
Reaction score
581
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM kwa zaidi ya miaka 20, Luhaga Mpina sasa kaondoka kwenye Chama hicho na kujinga na ACT Wazalendo, huko amefika tu na kupewa nafasi ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu ujao

Kwa kipindi chote akiwa CCM, Mpina alikuwa mpinzani wa ubadhirifu wa mali ya umma, wizi, rushwa, kifupi alijali sana maslahi ya Taifa na hakika alionyesha moyo wa ushujaa, ujasiri na uzalendo kwa Taifa na watu wake.

Mara nyingi Mpina aliingia kwenye ugomvi na wakubwa na pia Wabunge wengine ndani ya CCM kutokana na kuwa kinyume nao kwenye suala zima linalohusu maslahi ya Taifa.

Kusimama.peke yako na kukosoa Serikali wazi wazi tena ukiwa Mbunge ndani ya chama tawala ni jambo linalohitaji ujasiri na uzalendo usiopimika.

Ikumbukwe pia kwamba, hivi karibuni Mpina aliingia kwenye mzozo na Rais Samia alipofanya ziara Mkoa wa Simiyu. Katika ziara hiyo, Rais Samia alimkataa Mpina hadharani. Kweli jina lake lilikatwa na ndipo akaamua kwenda ACT Wazalendo.

Kutokana na misimamo yake kwa muda wote huo na kwa kauli za wakubwa ndani ya CCM dhidi yake nakosa nguvu na Imani kwamba, Luhaga Mpina kaenda ACT kama danganya toto. Ili CCM ipate ka mseleleko kwenye Uchaguzi huo Mkuu. Kwamba ni mpango wa CCM kuhadaa umma na Dunia kuwa Uchaguzi ni fair and Democratic.

Haiwezekani watu ambao wamekuwa wakiparuana na kuzodoana.kwa.miaka yote hiyo, Leo ndani ya muda mfupi wakae meza moja na kupeana kazi za aina hii yaani kuwatapeli watanzania.

Mi naona tuache kumhukumu na kutoa conclusion ya moja kwa moja kuwa Mpina ni pandikizi la akina Jakaya na CCM yake.

Kwa vile, CHADEMA imejikuta hapo ilipo, basi tuunganishe nguvu kwa pamoja na tumuunge mkono Luhaga Mpina na ACT.

Wale wengine wanaoruka na chopa kwenye Uchaguzi Mkuu na agenda zao za ubwabwa hao tunajua wazi kuwa wanamtumikia fulani.

Pamoja na kwamba Kwenye siasa hakuna urafiki au uadui wa kudumu , lakini kwa Mpina hapana, huyu hajatumwa..
 
Kura

Kura yangu kwa chauma.Wengine wamefunga ndoa na CCM
 
Luhaga kawasaliti WaTanganyika kwa maslahi ya ZZK!
 
Mkuu unatetea usichokijua!!! Uliza uelimishwe.
 
Mpina nguvu yake ni pale jimboni kwake tu huku kwengine atahujumiwa, hilo analijua. angehama kama alivyofanya kisha agombee ubunge pale pale kuja kwenye Urais kwa jicho la kintelejensia tafsiri yake ni kazi maalum ya Mfumo.
 
Kura

Kura yangu kwa chauma.Wengine wamefunga ndoa na CCM
CCM haihitaji kura yako ili kushinda kiti cha uRais.

Watanzania mpige, msipige kura ccm itashinda tena kwa kishindo.

Na ccm kwa uchaguzi huu wa oktoba, ushindi wa asilimia 98 ni mchekea.
 
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM kwa zaidi ya miaka 20, Luhaga Mpina sasa kaondoka kwenye Chama hicho na kujinga na ACT Wazalendo, huko amefika tu na kupewa nafasi ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu ujao

Kwa kipindi chote akiwa CCM, Mpina alikuwa mpinzani wa ubadhirifu wa mali ya umma, wizi, rushwa, kifupi alijali sana maslahi ya Taifa na hakika alionyesha moyo wa ushujaa, ujasiri na uzalendo kwa Taifa na watu wake.

Mara nyingi Mpina aliingia kwenye ugomvi na wakubwa na pia Wabunge wengine ndani ya CCM kutokana na kuwa kinyume nao kwenye suala zima linalohusu maslahi ya Taifa.

Kusimama.peke yako na kukosoa Serikali wazi wazi tena ukiwa Mbunge ndani ya chama tawala ni jambo linalohitaji ujasiri na uzalendo usiopimika.

Ikumbukwe pia kwamba, hivi karibuni Mpina aliingia kwenye mzozo na Rais Samia alipofanya ziara Mkoa wa Simiyu. Katika ziara hiyo, Rais Samia alimkataa Mpina hadharani. Kweli jina lake lilikatwa na ndipo akaamua kwenda ACT Wazalendo.

Kutokana na misimamo yake kwa muda wote huo na kwa kauli za wakubwa ndani ya CCM dhidi yake nakosa nguvu na Imani kwamba, Luhaga Mpina kaenda ACT kama danganya toto. Ili CCM ipate ka mseleleko kwenye Uchaguzi huo Mkuu. Kwamba ni mpango wa CCM kuhadaa umma na Dunia kuwa Uchaguzi ni fair and Democratic.

Haiwezekani watu ambao wamekuwa wakiparuana na kuzodoana.kwa.miaka yote hiyo, Leo ndani ya muda mfupi wakae meza moja na kupeana kazi za aina hii yaani kuwatapeli watanzania.

Mi naona tuache kumhukumu na kutoa conclusion ya moja kwa moja kuwa Mpina ni pandikizi la akina Jakaya na CCM yake.

Kwa vile, CHADEMA imejikuta hapo ilipo, basi tuunganishe nguvu kwa pamoja na tumuunge mkono Luhaga Mpina na ACT.

Wale wengine wanaoruka na chopa kwenye Uchaguzi Mkuu na agenda zao za ubwabwa hao tunajua wazi kuwa wanamtumikia fulani.

Pamoja na kwamba Kwenye siasa hakuna urafiki au uadui wa kudumu , lakini kwa Mpina hapana, huyu hajatumwa..
Mpina hatapata ht 5%, Lowassa alishindwa kupata urais huo ni sisimizi tu na atarudi CCM, mawaziri wakuu waataafu walirudi CCM unazungumzia mtu asiye na umaarufu au nguvu yyte kisiasa? Umapoteza muda wako bure.
 
Hapa anaongelewa Mpina, Chadema imeingiaje?,Mpina hawezi pambana na mama ACT ni unajua ilivyoanzishwa yupo hapo kunogesha uchaguzi tu. Arudi kisesa akagombee ubunge
Kwa siasa za Tanzania kwa sasa hata huyo Lisu hawezi kupamabana na mama.
 
Hata Mimi simwitaji lisu ila Huwa nafurahia zile shmlashmla zao tu , kwasababu naamini Simba yangu hawezi kuwa Bora bila yanga imara, Ndo maana sija mtaja lisu,
Mana Samia yuko vizuri pamoja na mapungufu yake, Huwa namkosoa panapo bidi. lakini simchukii

lakini sio Kwa mnafiki Mpina, Mpina ni mnafiki harafu anatamaa. sana
 
Tamaa ya Mpina ipi?
 
Mpina ni kazi maalum kwa 100%.
Ni pandikizi la kijinga.
Hakuna siri.
 
Tamaa ya Mpina ipi?
Ilitakiwa awe na subra, kukatwaa kwenye kura za maoni Ni jambo la kawaida, hata hivyo baadae unaweza kuteiliwa au kutumika Kwa kazi nyingine. Alivyo mjinga eti ameenda ACT kugombea urais ashindane na bosi wake hizo ni akili au matope. Mimi naamini hata kama angehama Chama siizi yake ilikuwa ni ubunge
 
lakini sio Kwa mnafiki Mpina, Mpina ni mnafiki harafu anatamaa. sana
Hili sio pekeyake, Wanasiasa wote wanasukumwa na tamaa na unafiki, na ndio njia ya kubaki salama kwenye siasa, huwezi kubaki salama na amani katika siasa za Tanzania kama utasimamia ukweli.
 
Mpina nguvu yake ni pale jimboni kwake tu huku kwengine atahujumiwa, hilo analijua. angehama kama alivyofanya kisha agombee ubunge pale pale kuja kwenye Urais kwa jicho la kintelejensia tafsiri yake ni kazi maalum ya Mfumo.
Kanda ya Ziwa na Mpina tu
 
Ni ngumu sana kumwamini hao mkuu,wakikwazana ndiyo wanakimbilia upinzani kupumzika,wakishappumbaza wapinzani wanarudi vyama vikuu.Sasa hii imevunja Imani kwa watu
 
Ahaa, kumbe. Taken and noted. Ahsanteni wote kwa elimu, nilikuwa sijui. Kwa mitazamo hii ya kuwa suspicious na kila mtu kwenye Siasa zetu labda aje Malaika kutoka Mbinguni ndiye tutamwamini.

Alianza Nyerere. Huyo alituletea uhuru na mambo mengine mengi akapumzika. Lakini ukianzisha uzi humu utaona utakavyokosolewa na hata kutukanwa.

Akaja Mzee Mwinyi na sera yake ya soko huria. Leo ukileta mada humu utazodolewa vya kutosha. Akaja Mkapa, Kikwete, Magufuli. Wote hao wanakosolewa, kubezwa, kutukanwa na wengine wanaombewa hata kifo.

Leo tuna mama Samia Suluhu Hassani, kafanya mengi ndani ya muda mfupi lakini naye anabezwa, anatukanwa, anaombewa hata kifo.

Yupo Tundu Lissu mpigania haki za wanyonge. Naye anatukanwa, wapo watu wanafurahia abaki huko huko aliko na hata anyongwe kabisa. Unajiuliza hili li nchi lina watu wa aina gani?? Mtu uliye na utashi na akili ya kawaida unawezaje kumuombea binadamu mwenzako anyongwe?

Wamejitokeza akina Gwajima na Polepole. Wamekosolewa, wanatukanwa, Wapo wanaotamani wafutiliwe mbali katika uso wa Dunia.

Kwa hiyo kusema Mpina ni msaliti, pandikizi, anatamaa sana, hajakomaa Kisiasa, ni mambo ya kawaida kusikia. Ndivyo watanzania wengi tulivyo.

Acha siku Mungu atakapotushushia Malaika kutoka Mbinguni labda huyo ndiye atagombea Urais, hatakosolewa, hatabezwa, hatakataliwa.

Tuendelee kufunga na kuomba usiku na mchana kila mtu kwa Imani yake ili muujizq huo uje upesi.
 
Back
Top Bottom