Kumekuwa na mjadala unaoibuka na kufa kila mara. Nao si mwingine bali wa kuruhusu uraia pacha katika Tanzania. Serikali imekuwa ikipiga danadana wakati huo ikipigia chapuo uwekezaji wa watanzania waishio ughaibuni nchini. Kuna dalili kuwa serikali ina uchu na pesa ya watu hawa lakini haiwataki...
Wanabodi
Ni juzi Ijumaa niliuliza humu Kigugumizi cha nini kwenye Uraia Pacha? Shuhudia unavyowakwamisha Watanzania kuwekeza nyumbani. Miradi, mijengo ya maana ingeota kama uyoga, leo nakutana na hii hoja, uraia pacha wetu jameni ndio huu!.
Haya sasa ndugu zetu wana Diaspora, mliopoteza uraia...
Kuhusu hii ishu ya uraia pacha.
Pia soma
Tanzania kuanza kutumia Hadhi Maalumu badala ya Uraia Pacha
Serikali yatoa msimamo kuhusu uraia pacha
Kwanini ni Tanzania pekee katika EAC ndiyo haijaruhusu uraia pacha kwa watu wake?
Tanzania na Suala la Uraia Pacha
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema haipo tayari kutumia uraia pacha ila hivi karibuni itaanza kutumia utaratibu wa hadhi maalum ambao utatoa fursa kwa wenye asili ya Tanzania waliopo nje kuchangia nchi yao.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa wizara hiyo...
Nchi zingine zote za Afrika Mashariki zimesharuhusu. Imesalia Tanzania peke yake.
Kwa nini imeamua kujitofautisha? Labda ina akili kuliko nchi zingine zote zilizoruhusu au kinyume chake?
Ya kwanza kuruhusu uraia pacha ilikuwa ni Burundi, mwaka 2000.
Mnamo mwaka 2003, Rwanda nayo iliweka...
Kuna sababu dhaifu sana za kuhalalisha uraia pacha. Nchi zetu hizi zina mifumo legelege sana ya kudhibiti uhalifu na wizi wa mali na rasilimali za taifa.
Hata bila uraia pacha mali zetu zinaibwa na watanzania na viongozi wetu na kwenda kufichwa nje ya nchi (ulaya, marekani na Asia (Dubai, oman...
Tunajua serikali inahofia kuruhusu uraia pacha kwa sababu za kisiasa kwamba atatokea mtanzania huko mambele mwenye ushawishi na kuchukua nchi. Hilo tuliache.
Tanzania kwa siku za hivi karibuni inajitutumua kwenye nyanja za michezo kimataifa. Mfano hivi karibuni, timu ya Taifa ya mpira wa miguu...
Katika Bara la Afrika lenye nchi 54, ni nchi chache tu, takriban nchi 10, ndizo zizsizokubali uraia pacha. Nchi hizo ni pamoja na Tanzania, Ethiopia na Congo D.R.C. Hata nchi jirani ambako baadhi ya Watanzania wamekuwa wakijinasibu kutaka kuhamia, yaani, Burundi, wametupiku katika hilo.
Lakini...
URAIA PACHA: KUUNGANISHA TANZANIA NA DIASPORA KWA MAENDELEO ENDELEVU.
Imeandikwa na: Mwl.RCT
UTANGULIZI
Uraia pacha ni hali ya kuwa raia wa nchi mbili kwa wakati mmoja. Inawawezesha watu kufurahia haki na huduma za kisheria, kiuchumi, kisiasa, na kijamii katika nchi zote mbili wanazohusika...
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imetoa msimamo wake kuhusu masuala ya uraia pacha nchini baada ya hivi karibuni kuwa na mijadala mbalimbali ya uraia pacha.
Akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Agnesta Kaiza leo Bungeni Jijini Dodoma, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad...
Serekali iruhusu uraia wa nchi mbili kwa sababu unafaida nyingi sana, ila usingatie vegezo vifuatavyo ambavyo vigeuzwe kuwa sheria
Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kugombea urais
Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kugombea ubunge, udiwani, na uenyekiti wa mtaa
Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi...
Kulingana na hoja za Bongo Zozo raia wa Tanzania waliopo ughaibuni wananyimwa fursa ya kuendeleza nchi yao. Aidha Tanzania inakosa fursa ya kupata huduma kutoka kwao
Tuna Jambo la kujadili ili tupate muafaka!
Habari za wakati huu,
Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Uraia Pacha kwa Watanzania na watu wengine ambao wanahitaji kuwa na Uraia Pacha. Hili ni swala ambalo linahitaji mjadala wa kina, lakini je, ni zipi faida za Uraia Pacha?
Mimi leo nataka nizungumzie zaidi faida za Kiuchumi...
Alianza Charles Hilary , akafuata Zuhura Yunusu na Sasa Salim Kikeke. Sina hoja Kwa Charles na Zuhura Kwa Sababu walikuwa raia WA Tanzania na awakuwahi kupata uraia huku ughaibuni.
Kwa Salim Kikeke inazaliwa hoja ya uraia, hoja hii inakwenda kuathiri utaratibu mzima WA uteuzi kwenye secta ya...
Kwa wenye uelewa kuhusu uraia pacha naomba ufafanuzi kidogo. Maana Tanzania uraia pacha hatuna hii imekaaje, au ndo maana tunafeli kisoka?
Maana baadhi ya nchi yenye uraia pacha kwenye soka zinatamba mfano Morroco.
Tofauti kati ya Dual na Second Citizen
Mtu anaweza kuwa na uraia wa nchi tofauti mbili (dual au Second Citizen) au hata zaidi ya hapo kama nchi ambazo ana uraia zinaruhusu mtu kuwa na uraia zaidi ya nchi moja.
Uraia Pacha:
Muhusika anatambuliwa na nchi zote mbili, analipa Kodi na hata kufanya...
Kitaifa
Kesi ya uraia pacha kuanza kusikilizwa Mei 2
Jumanne, Februari 21, 2023
Wadau wa suala la uraia pacha wakitoka mahakamani, kusikiliza kesi ya uraia pacha iliyofunguliwa na Watanzania Sita wanaoshi nje ya chini, iliyofunguliwa Mahakama Kuu Masjala Kuu, Dar es Salaam.
By James Magai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.