Tanzania hakuna uraia wa nchi mbili lakini naona kama wageni wanaomiliki Pasipoti za Tanzania na za mataifa mengine wamekuwa wengi Sana.
Sikukuu za mwisho wa mwaka nilikuwa South kwa mwaliko wa familia Kula bata kidogo, katika moja ya hafla mwenyeji wangu alinikutanisha na rafiki zake ambao...
idara ya uhamiaji
nida
pasipoti
pasipoti tanzania
passport
raia
rushwa
rushwa uhamiaji
serikali
tanzania
uhamiaji
uraiauraiapachauraia wa tanzania
utanzania
uwajibikaji
waarabu
wahamiaji haramu
watanzania
Kumekuwa na malalamiko kadhaa nchini kuh uraia pacha. Kuna wanaotaka Tanzania iruhusu uraia pacha na wengine wanataka tuendelee na uraia huu single.
Aidha wapo wanaotaka wale waliokana uraia wa Tanzania na kupata uraia wa nchi zingine basi wapewe hadhi maalum ili wapate zile haki ambazo...
Ameandika: Bongo Zozo
Hongera sana @bernardk17 na wala sikulaumu. Hakuna angekataa fursa hiyo.
ILA: @taifastars_ imepoteza bonge la mchezaji. Huyo jamaa anacheza kinoma yaani. Na hawezi kuchezea timu ya 🇹🇿 tena.
ISIPOKUWA URAIA PACHA.
Tanzania ilivyocheza na Benin mwaka uliopita, uwanjani...
Nimesema siku zote huwa siwaamini wanasiasa. NI mara chache sana mwanasiasa ataongea kitu nimwamini, na siku zote wanasiasa wenyewe wananipa sababu za kusimama katika msimamo wangu wa kutowaamini. Generaly speaking, wanasiasa ni watu waongo.
Sasa leo sintasema mengi, bali nitwakumbusha tu...
Ndiyo njia pekee ya kukimbizana na kiwango standard cha soka la dunia.
Kupitia Afcon hii kama taifa tuna la kujifunza hasa tukiyaangalia mataifa madogo kama Comoro, Malawi na cape verde juhudi kubwa na uwezo waliouonyesha licha ya baadhi yao kushiriki kwa mara ya kwanza katka fainali hizi.
Ni...
Nina tatizo la waandishi wa habari wa Tanzania - huwa hawajui kufuatilia mambo, na mara nyingi wanaishi kwa ajii ya siku iliyopo tu.
Kuna wakati kurugenzi ya Habari ilitangaza kwamba Chancellor wa Germany Angela Melkel kaongea na Magufuli kujenga kiwanda cha mbolea mwaka 2022. Hakuna...
Habari wadau...!
Habari wadau ebu leo tujadili kuhusu haya mambo ,naona siku hizi mbili yamekiki sana huku kwetu tunaohishi udayasporani baada ya muingereza mtanzania kuibuka na tuzo ya Nobel.
Karibuni tujadili.
Wengi wetu ndio kwanza tumefahamu kuwa mshindi wa nishani ya Nobel wa mwaka huu kwa upande wa fasihi ni Mtanzania mwenye asili ya Zanzibar Abdulraza Gurnah. Ndio kwa mara ya kwanza tumeviona vitabu vyake mitandaoni, vilivyompatia nishani yenye heshima na yenye kuambatana na pesa nyingi takriban...
Marekani na Uingereza na nchi zingine washiriki wametuma vikosi vya jeshi kurudi tena nchini Afghanistan ili kufanya operesheni ya kuwaokoa raia wa nchi hizo pamoja na raia wa Afghanistan wenye pasi mbili za kisafiria.
Marekani inatuma vikosi vya wanajeshi wapatao 3000 huku Uingereza ikituma...
Nimekuwa nikisoma maoni na hoja za watu kuhusu Tanzania kuruhusu uraia pacha, na nimeshangaa sana na kugundua watu wengi sana wanaotoa maoni kuhusu uraia pacha hawaelewi kabisa inakuwaje mtu anakuwa na uraia pacha. Na hili nimeona hata toka kwa wanasiasa wanaopinga uraia pacha, na kuona kwamba...
The question of dual citizenship remains a thorny subject in Tanzania, with the official stand remaining that it is not allowed in the country.
During an exclusive interview with Mwananchi Communications Limited (MCL) yesterday, Foreign Affairs and East African Cooperation minister Liberata...
Nchi yetu imebarikiwa maji, ardhi yenye rutuba, watu wenye afya, Rasilimali lukuki lakini 60% ya raia wanaishi katika umasikini wa kutupwa.
Kitu kinachowashinda wengi ni mitaji ya kuanzisha biashara. Hili si tatizo kubwa kama tukiwashirikisha diaspora. Diaspora anaweza kupata mtaji wa...
Kama serikali imeona umuhimu wa kuwalipisha kodi watanzania wanaoishi nje lakini hutuma pesa nyumbani kwa kwa ndogu zao, basi wakati umefika kwa serikali hiyo kutambua kuwa watanzania hao si adui hata kama wamshachukua uraia wa huko wanakosihi. serikali hii itumie busara hiyo kuwatambuakuwa ni...
Vijana wa kiTanzania walilia uraia pacha kutokana na changamoto wazipatazo huku wao wakiwa wamwzaliwa mfano raia wa Marekani ya Kaskazini na Ulaya wakati wazazi wao, bibi, babu, shangazi ni waTanzania lakini sheria za uraia za Tanzania haziwatambui na hivyo kupata wakati ngumu katika mambo...
Balozi Malamula hivi karibuni ametoa kauli kwamba serikali inaandaa sera ili Tanzania inufaike na Diaspora. Mimi nadhani huku ni kupotezeana muda tu. Nilishalisema sana jambo la Diaspora humu ndani.
Nilishaziponda sana point za Watanzania ambao wanadai kuwa tusiruhusu uraia pacha kwa kuwa watu...
Mbunge wa Viti Maalum Grace Tendega amesema uamuzi wa Tanzania kutoruhusu uraia pacha kunaikosesha fursa nyingi za kiuchumi.
Tendega ametoa kauli hiyo leo Jumanne, Juni 1, 2021 bungeni wakati akichangia katika hotuba ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa mwaka...
Suala la uraia pacha, limejitokeza tena kuwa hoja nzito katika mkutano wa tatu wa uratibu wa wadau Watanzania wanaoishi ughaibuni (diaspora), huku baadhi wakiitaka serikali kuharakisha mchakato wa kuanzisha utaratibu huo. Walisema Watanzania wanaoishi nje ya nchi wanapata adha kubwa na wengine...
Wakuu leo katika press conference ya Ndugu Humphrey PolePole nimemsikia akisema kwamba ana taarifa kwamba kuna mgombea wa Urais ameshapata uraia wa nchi nyingine, ndio maana anachochea watu kufanya vurugu baada ya uchaguzi.
Je, sheria na kanuni za uchaguzi mkuu wa nchi yetu zinaruhusu mtu aliye...
Hatujawahi kujutia kuwapa diaspora wetu uraia pacha maana inawapa uhuru wa kutanua na kupaa, huku wakituma nyumbani mukwanja wa kuwekeza......
Boni Njenga, the Kenyan-born American who is vying for a position in the Hennepin County Board of Commissioner, District 5.
Pool
What you need to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.