Suala la uraia pacha, limejitokeza tena kuwa hoja nzito katika mkutano wa tatu wa uratibu wa wadau Watanzania wanaoishi ughaibuni (diaspora), huku baadhi wakiitaka serikali kuharakisha mchakato wa kuanzisha utaratibu huo. Walisema Watanzania wanaoishi nje ya nchi wanapata adha kubwa na wengine...