Salaam wanaJF!
Katika kipindi kirefu sana kumekuwa na mjadala juu ya kuruhusu uraia wa nchi mbili 'dual citizenship' katika taifa letu. Mjadala huu umepamba moto sana haswa katika uongozi wa waziri Bernard Membe. Hata katika hotuba ya bajeti ya wizara mwaka 2011/2012, ndugu Membe alizungumzia...