Kama ilivyo bara natamani sana kuona Zanzibar na wenyewe wangekuwa wanaenda kuchagua Rais mwanamke.
Huku bara sisi tuko open minded sana kuliko Zanzibar.
Siioni Zanzibar mwanamke kupata Urais kwa miaka 100 ijayo
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amechukua fomu ya kugombea Urais katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ifikapo Oktoba, 29, 2025 katika siku ya Uchaguzi Mkuu wa Wagombea wa 2025-2030.
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Alliance for Africa Farmers Party (AAFP), Said Soud, amesema endapo atachaguliwa na wananchi wa Zanzibar kuwa Rais, atapiga marufuku utengenezaji na uuzaji wa vitanda vyenye ukubwa wa futi 6 kwa 6, akidai vinachangia kupunguza idadi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.