urefu wa kamba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Poppy Hatonn

    Wazalendo wanasema kila mbuzi anakula kwa kufuata urefu wa kamba yake.

    Wazalendo,wale militia wa DRC, wanasema kila mbuzi anakula kwa kufuata urefu wa kamba yake. Wanasema wanataka kuiteka Kigali. Wanasema hawatapora mali ya mtu yeyote,au kufanya uovu wowote dhidi ya raia. Watawalenga tu RDF Isipokuwa wamesema ikumbukwe kwamba kila mbuzi anakula urefu wa kamba...
  2. Gabeji

    Kauli ya Rais Samia na Changamoto ya Rushwa Inavyoathiri Taifa: "Kuleni Kulingana na Urefu wa Kamba Zenu"

    Mheshimiwa Rais, nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pole na majukumu yako mazito ya kitaifa, kwani hakika mambo ni mengi na muda ni mchache. Katika ngazi yoyote ya uongozi, ni muhimu sana kwa kiongozi kuwa makini na maneno anayoyatamka, hasa akiwa mbele ya watu. Kwa...
  3. M

    Maisha rahisi yapo utotoni, ukubwani kila mtu hula kulingana na urefu wa kamba yake

    MAISHA RAHISI YAPO UTOTONI, UKUBWANI KILA MTU HULA KULINGANA NA UREFU WA KAMBA YAKE. Ifike muda ukubali kula kulingana na urefu wa kamba yako na ukiona havikutoshi basi pambana kuongeza urefu wa kamba ili ule vya mbali. Utotoni ndio kuna urahisi kwa sababu kazi yako ni kulishwa tu na wengine...
  4. Subira the princess

    Ni kwanini Serikali haikusanyi kodi kwa wachina? Ni rushwa au ndo kula kwa Urefu wa kamba?

    Wasalaam Tanzania yetu kuja kujitegemea itachukua karne nyingi sana kwa sababu mamlaka za kiserikali za kusimamia makusanya ya kodi zimefeli na hazina ubunifu. Kwa mfano hapa Dar wanaosumbuliwa kulipa kodi ni wafanyabiashara wenye vifrem na maduka ili hali kuna viwanda vingi bubu visivyo na...
  5. A

    KERO Mochwari Muhimbili nao wanakula kwa urefu wa kamba?

    1. Majuzi nilipata msiba wa Kaka yangu hapo Muhimbili basi akapelekwa Mochwari. 2. Siku ya kutoa maiti kwa ajili ya ibada na Maziko (mhudumu anataka TSH 200,000) mbali na zile gharama ambazo tulililipia na kupewa risiti halali. 3. Wale wahudumu kama hujatoa pesa ya chai utashinda kutwa nzima...
  6. Mganguzi

    Tume ya maadili ya utumishi wa umma imeondoka na magufuli ?au Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake!

    Wakati wa magufuli watumishi wa umma walikuwa wanaitwa na tume ya maadili si tu kula kiapo Bali kuthibitisha mali wanazomiliki na upatikanaji wake ! Rais magufuli alikuwa mstari wa mbele kwa kujitokeza hadharani na kwenda tume kuhojiwa na kuweka wazi mali zake na upatikanaji wake ! Baada ya...
  7. Msanii

    Rais Samia, hii kauli inazidisha ukakasi kwenye eneo la urefu wa kamba...

    Nilitegemea Mhe. Wangu kuwakemea wanaokula kwa urefu wa kamba zao. Nitaendelea kuamini kuwa hii ni kauli inaweza kuendelea kutumika kukosoa nia ya serikali kuunda vyombo vinavyosimamia maadili na miiko ya viongozi na watumishi wa umma. Tujisahihishe. Bado hatujachelewa Pia soma: Rais Samia...
  8. S

    Sababu kubwa ya Nyerere kumkataa Lowassa asiwe Rais ni utajiri wake uliotokana na urefu wa kamba yake wakati huo!

    Juzi hapa niliweka thread JF iliyosema wengi wa matajiri wa Tanzania ni wanasiasa na sio wafanya biashara, nikiwa na maana kwamba utajiri wao haujatokana na kufanya biashara bali umetokana na nafasi zao za kisiasa au uongozi serikalini kujitajirisha - urefu wa kamba zao. Kwa wengi wetu huo ni...
  9. M

    TV 15 zaibwa hospitalini Njombe. Mkuu wa mkoa azunguka mitaani kuzisaka

    ======= Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amemuelekeza Katibu Tawala wa Mkoa huo kuwasimamisha kazi baadhi ya Watumishi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe akiwemo Katibu wa Afya, Watu wa Idara ya manunuzi pamoja na Idara ya TEHAMA ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za wizi wa TV 15...
  10. Mwande na Mndewa

    Dawasa Kinyerezi naona mnakula kwa urefu wa Kamba

    Salaam! Salaam toka Kinyerezi mtaa wa Sadani kwa Babu Ali,huu mtaa una miezi miwili hauna maji,ratiba ya kufungulia maji mara moja kwa mwezi mtaa huu inarukwa either kwa makusudi au wanatuona sisi manyani,kuna mitaa michache inapata maji kwa mwezi hata mara 3 kimpango mkakati ili itumike kama...
  11. Kiby

    Awamu ya Sita na mbuzi kula kwa urefu wa kamba yake

    Awamu ya jamaa yule hakuna mkuu wa taasisi kitengo au kaya aliyethubutu kutengeneza mkao wa kula jasho la wengine kupitia ofisi ya umma. Leo hii katika hii awamu ya sita kila mbuzi kwenye ofisi ya umma anatafuta urefu wa kamba yake ni mrefu kiasi gani ili ajipimie ulaji wa kula bila kunawa...
  12. Mwamuzi wa Tanzania

    Kula kwa urefu wa kamba yako

    Inasikitisha sana! Mtu unajawa uzalendo mpaka unamwagika. Unakuja kuona wapumbavu wachache wanaihujumu nchi yao wenyewe kwa tamaa ya mali na fedha. Ukijiangalia unajiona wewe ni kama tone la mvua linalopiga juu ya bahari. Unaamua tu nawe utafute mpenyo ule kwa urefu wa kamba yako.
  13. tawakkul

    Kiongozi wa Mwenge ameshang'amua miradi mingapi iliyojengwa chini ya kiwango? Au anakula kwa urefu wa kamba yake?

    Habari wakuu, Tanaambiwa kuwa moja ya kazi ya mbio za mwenge ni kung'mua miradi iliyojengwa chini ya kiwango na kukataa kuifungua. Japo kuna mkaguzi mkuu(CAG), wakaguzi wa ndani(Internal Auditors), kamati za bunge, TAKUKURU, mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa lakini bado na Mwenge unatumika kukagua...
  14. R

    Mbunge Musukuma: Walioambiwa wale kwa urefu wa kamba zao hawanunui kamba za katani wanatumia manati, likijaa linatanuka

    Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku 'Musukuma' Vikao vya bunge vimefunguliwa rasmi leo tarehe 4/4/2023. Katika kikao cha leo, shughuli za Bunge zilisimamishwa kwa ajili ya Azimio la kumpogeza Rais, ambapo Wabunge walipata nafasi ya kutoa pongezi zao. Kwa upande wa Mbunge wa Geita Vijijini...
  15. B

    Serikali ya CCM na mwendo wa kula kwa urefu wa kamba zao

    Wananchi tunalalamika na mzigo wa kodi usio wa haki. Wanaanza kudai kodi ya pango day 1 umepangisha baada ya safari ndefu Isiyowahusu wao ya ujenzi wa nyumba. https://www.jamiiforums.com/threads/wizi-wa-tra-kupitia-kodi-ya-pango.2058986/ Wao Kodi hawalipi, ila sisi. Kulikoni bus hili la...
  16. Dr Msweden

    Kula kwa urefu wa kamba yako,hili daraja limejengwa kwa billion 31

    Daraja la kitengule ambalo linaunganisha misenyi na biharamulo ujenzi wake umegharibu billion 31 za kitanzania. Naamini hizi zitakuwa bil 31 za Zimbabwe
  17. A

    Wanatetea elimu kwa wanyonge au wanataka urefu wa kamba uongezeke?

    Nani Mtetezi Wa kweli Wa yatima na mnyonge kwenye elimu ya Yetu. Anayeweka mfumo Wa electroniki unayohitaji documents Ili yatima apate mkopo. Au anayeanzisha scholarship Kwa jina la Raisi"Samia Scholarships" na kuweka vigezo ambavyo Zaidi ya Asilimia 90 ya wanufaika ni Watoto Wa wenye Uwezo...
  18. Rebeca 83

    Kuleni ila kwa urefu wa kamba zenu: Is she guilty or not?

    Hello Great Thinkers, Hii sentensi ya Mama ilileta confusion kwa wengi. Wengi, walidhani Mama amemaanisha sasa Mafisadi ruhusa kuvuna. Kiukweli mimi nadhani alikuwa anamaanisha kitu tofauti. At that moment labda alikuwa amejua jinsi 'wenzie; walivyokula kushinda Urefu wa Kamba zao...lol...
  19. KENZY

    Ulisema "kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake!" Una habari Kuna mbuzi wana kamba moja tu!

    Ndio tumekubali tutakula kwa urefu wa kamba zetu,lakini unajua Kuna mbuzi wanakamba moja tu..? Wewe unakamba nyingi na nyengine wawezakuwa umezisahau ila zipo!.. sikufundishi ila sijui umewawaza wenye kamba moja..? Kula,kunywa,Kodi,usafiri na gharama zao zote za maisha hutegemea kamba hiyo...
  20. Msanii

    CCM Temeke ndani ya Kashfa nzito

    Taarifa zinazojiri mtandaoni sasa ni tuhuma za ubadhirifu uliofanywa na Mweyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke bibie Almishi Hassal, ambaye anatuhumiwa kuunda vikundi hewa vya wanawake na vijana kisha kufanikisha uchotwaji wa zaidi ya Tshs milioni 300 za Halmashauri ya Temeke zilizopaswa kukopeshwa...
Back
Top Bottom