urefu wa kamba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. John Haramba

    Rais Samia awatumbua Wakurugenzi wa Halmashauri wanne kwa ubadhirifu wa Fedha zikiwemo za UVIKO-19

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa njiani kutoka Mwanza kwenda mkoani Mara, leo Ijumaa ametangaza kutengua uteuzi wa wakurugenzi wanne wa Halmashauri ya Buchosha, Iringa, Mbeya na Singida Mjini baada ya kubainika kutumia vibaya fedha za UVIKO-19. --- Rais Samia Suluhu Hassan...
  2. D

    Hivi ndivyo wanavyoishi kwa urefu wa kamba zao.

    Kuna ukuta mnene Sana Kati ya yanayosema na yanayofanyika.
  3. TODAYS

    Rais Samia, unapoingia mkoani Mara fuatilia kuna chembechembe za watu kula kwa urefu wa kamba pale Musoma Airport

    Nakukumbusha mheshimiwa rais mliidhinisha pesa za upanuzi wa viwanja kadhaa vya ndege hapa nchini na cha Mkoa wa Mara hapo musoma kikiwa ni kimojawapo. PICHA: Sehemu ya mji wa musoma unavyoonekana kutokea juu. Taarifa tulizo nazo pesa ilitolewa ili kufidia wananchi waliopo kwenye eneo la...
  4. markp

    Tabia ya Trafiki kula kwa urefu wa kamba zao imekithiri. Mamlaka ziingilie kati kukomesha rushwa za waziwazi

    Kuna magari almaarufu kama daladala , haya magari yakisimamishwa na Polisi hasa hawa wa usalama barabarani dereva akisimama tu JAMBO LA AJABU SANA KONDA HUSHUKA KAMA NINJA NA KUKIMBILIA KWA POLISI NA MARA HIYO HIYO POLISI hukenua meno na kuruhusu gari iondoke. Nachojiuliza Mkuu wa Polisi haoni...
  5. YEHODAYA

    Hivi inakuwaje mtu anatunzwa na Serikali maisha yake yote halafu bado anataka kula kwa urefu wa kamba yake

    Serikali imeweka mafao makubwa serikalini, bungeni na mahakamani kwa viongozi wakubwa inakuwaje pamoja na kuwa wana uhakika wa kupaa mapato makubwa sasa na maisha yao yote bado wanakuwa vibaka wa kula kwa urefu wa kamba zao? Mwenyezi Mungu atusaidie kwenye hili wanataka nini hasa?
  6. J

    Mbuzi wa Kipanya amekata kamba kwahiyo anakula bila kipimo

    Nimeiona mahali katuni ya mbuzi wa Kipanya aliyekata kamba na kwahiyo anakula bila kuzingatia urefu wa kamba, nimecheka sana. Ngoja niitafute nitupie mjionee wenyewe. Maendeleo hayana vyama!
  7. M

    Watanzania nani anaturoga? Kama hamtaki kila mtu ale urefu wa kamba yake, mnataka wale bila kamba?

    Majuzi wakati Rais Samia Suluhu Hassan anafanya kikao baina yake na Mawaziri na Manaibu wa Serikali ya awamu ya Sita aliowateua siku chache zilizopita, Katika hotuba yake miongoni mwakauli zilizozua utata katika kikao kile ni pale Rais Samia Suluhu Hassan alipowaambia viongozi hao kuwa, "...
  8. M

    Urefu wa kamba yako ni mshahara wako na stahiki nyingine kisheria. Msimlishe maneno Rais Samia

    Urefu wa kamba yako ni Mshahara wako na stahiki nyingine kisheria ndio maana Rais akasema kula kulingana na Urefu wa kamba yako wala hakusema uibe mali za Umma!! Wabaya wa Samia kisiasa ndo wanasambaza ujinga huo!!! Hivi ukiamua kukosoa kila kauli ya rais si utafika 2030 ushabaki skeleton...
  9. JF Member

    Rais Samia, hii kauli ya kuwaruhusu Mawaziri wajipimie, wasivimbiwe itolee ufafanuzi tena

    Rais Samia, jana akiongea na mawaziri aliwaambia wajipimie ila wasivimbiwe tena mbele ya TV ya umma. Nilipigwa na butwaa ila nikahisi mambo yafuatayo. 1. Rais hajui kwamba mali anazowaambia mawaziri wajipimie ni za wananchi wanao msikiliza na kwamba wananchi wanataka alinde mali zetu kama kiapo...
  10. 5

    Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Jipimieni!

    Nimemsikia Rais Mama Samia anasema kila mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake akiwambia kikao na Mawaziri wake, sijuwi amemaanisha nini kwamba mawaziri sasa wataanza kugawana rasilimali na mapato? Embu tujielekeze hapa kidogo wale watu wenye taaluma fasihi, Mama kila siku anatoa kamsemo...
Back
Top Bottom