Tanzania na nchi nyingi za Afrika, tumepata Uhuru au tumepata Urithi?
Nasema tumerithi, kwasababu hatujarudi katika njia nzetu kabla ya kutawaliwa. Tumeendelea na mifumo yote alioiweka mnyonyaji. Tumerithi kwanzia utamaduni hadi mifumo ya utawala.
Viongozi wetu wamekuwa wanyonyaji, kama mfumo...
Habari,
Kuna rafiki yangu mmoja nilizoeana nae mda kidogo na tunafamianane kutoka na biashara zetu yeye anaumri wa 43 now. Ila kwa sasa anahali mbaya ya kiafya anaumwa magojwa yasiotibika haya kupona haiwezakani kabisa.
Sasa miaka kadhaa ya nyuma alipata mchepuko, katika kukutana na mchepuka...
Kwa mujibu wa Sheria ya Kiislam mgawanyo wa urithi uko kama ifuatavyo:
Wajane
hurithi 1/8, Wengi huendelea kutunzwa na watoto wao na nimeona kwa huu mgao unalinda wasiwe na tamaa za kutaka mwanaume afe ilinwapate mali, k
Wazazi
- Wazazi hupewa 1/6 ya salio baada ya kuondoa fungu la...
Habari za asubuhi, mchana na jioni. Hapa mtaani kuna sekeseke limetokea, mzee mmoja Mangi wa Rombo ameowa mwanamke wa kidogo kutoka mkinga huko Tanga.
Katika maisha yao ya ndoa wamejaaliwa watoto 3 ila katika hao watoto mmoja wa kiume sio wa Mangi na alimpima DNA huko kenya ikaonesha kweli sio...
Muuza duka anaonesha sahani ya mchuzi wa pilipili wa Harissa katika soko huko Tunis, Tunisia. Mchuzi wa Harissa unaotengenezwa kwa pilpili umewekwa katika orodha ya urithi wa dunia na Shirika la Elimu na Sayansi la Umoja wa Mataifa(UNESCO).
"Mbinu za Jadi za Kichina za Kutengeneza Chai na Desturi Zinazohusiana” zilizowasilishwa na China tarehe 29 Novemba, zilipitishwa kwenye Mkutano wa 17 wa Kamati ya Kiserikali ya UNESCO ya Kulinda Urithi wa Utamaduni Usioshikika uliofanyika huko Rabat, Morocco, na kuorodeshwa kuwa Urithi wa...
Waasi wa M23 hawana Masihara kabisa hivyo GENTAMYCINE nawaonya mapema msije Kukurupuka nanyi Kuwaiga Wakenya waliopeleka Wanajeshi ( Askari ) Wao 901 na Kukurupuka kupeleka Wenu kwani kwa Uhodari wa Waasi wa M23 kuna uwezekano nanyi mkipeleka wenu 500 watakaorejea Hai ni Wawili ( 2 ) au hata...
Niende moja kwa moja kwenye mada, mwezi wa 6, 2022 kuna jamaa aliniuzia gari Mkoa wa Mwanza (Crown 2010). Tukaandikishiana vizuri kabisa nikatoa hela nikapewa kadi, nikakamilisha taratibu kama bima nk sikuweza badilisha umiliki sababu ya kukosa nakala halisi za jina la mwenye kadi.
Basi katika...
Kama una watoto, waombee, wakumbatie, wakikukosea wasamehe hata bila masharti; huo ndio urithi wako wa pekee!
Kuna watu wanatamani wangepata japo mtoto hata mmoja, lakini kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao hawajafanikiwa. Na wengine tayari ni wazee.
Watoto ni urithi wa pekee kutoka...
Anaandika, Robert Heriel, mwanasheria.
Wewe kama huna cha kurithi kwenu usidhani kila mtu kwao yupo kama wewe.
Vijana wa siku hizi sijui akili wamepeleka wapi. Sio ajabu Faizafoxy anasema; "huko shule mlienda kusomea ujinga",
Kwa kweli wanashangaza. Kama mnashindwa kuelewa mambo madogo kama...
Kijana wangu Sasa umekuwa si mtoto tena, umeingia umri wa kuyajenga, umri wa majukumu, natamani ningekufundisha haya ana Kwa ana ila muda Sio Rafiki hivyo nimekuandikia walaka huu utakaokusaidia katika Safari Yako kama ukizingatia Lazima utafanikiwa.Hekima na Busara zangu zitakupa muongozo na...
URITHI WA BABA
Kuna watu husema kwamba nguo ni nguo tu hata iwe ya namna gani, ni kweli huo ni mgororo wa nafsi kabisa kwani si uungwana kuingilia mawazo ya mtu ila leo acha twende mbali kidogo Joho lina maana kubwa mno. Joho ni vazi la kiafalme lenye kubeba maana kuu ya heshima. Viongozi wa...
Mkazi wa Ngarenaro, Mzee Iddi Maganga amebomoa nyumba zake mbili zenye thamani ya milioni 200 akiwatuhumu watoto wake kumfanyia ndivyo sivyo.
Akiongea kwa uchungu, Mzee Maganga amesema mmoja wa watoto wake anayeitwa Abdallah alimfungia kwenye chumba chenye giza wiki nzima bila chakula mpaka...
Picha: Kamanda wa Polisi Mkoani Geita Henry Mwaibambe
Kamanda wa Polisi Mkoani Geita Henry Mwaibambe amethibitisha tukio la Mwanamke mmoja mkazi wa kijiji na kata ya Nyaruyeye Wilayani Geita, Milembe Lutubija (70) kuuawa kwa kukatwa mapanga na watoto wake kwa madai ya watoto kuhitaji...
Hapa nilipo baba yangu mkubwa alifariki miaka zaidi ya ishirini iliyopita akamuacha mama mkubwa na watoto wake saba.Pia katika kipindi hicho baba mkubwa alizaa watoto wawili kwa mama tofauti,akawachukua na kuwaleta kwa mama mkubwa ndiye aliyewalea wote!Hivi sasa watoto hao ni mama wazima na wana...
KINANA ATEMBELEA OFISI ZA PROGRAMU YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, ametembelea ofisi za Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika, na kujionea hatua mbalimbali zilizofikiwa katika...
Balozi Dk Wilbroad Slaa anatarajiwa kuongoza kongamano la tafakuri tunduizi ya kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kifo cha hayati John Pombe Magufuli.
Kongamano hilo litakalofanyika Ijumaa Machi 25, mwaka huu katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT), Mwanza pia linalenga kufanya...
Katika jiji la Agra nchini India,kwenye kingo za mashariki za mto Yamuna limesimama jengo mashuhuri kuliko yote nchini India,TAJ MAHAL. TAJ MAHAL iliamriwa kujengwa mwaka 1632 na mtawala wa tano wa himaya ya Mughal aliyeitwa Shah Jahan. Himaya ya Mughal ilikuwa inapatikana katika eneo la...
Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing imefungwa kwa mafanikio makubwa. Beijing ambao ni mji wa kwanza ulioandaa Michezo yote ya Olimpiki ya Majira ya Joto na ya Baridi duniani, kwa mara nyingine tena iliishangaza dunia. Kauli mbiu ya michezo hii ni “Pamoja: Kwa Mustakabali wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.