urusi vs ukraine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanzania tujifunze hili somo la vita ya Ukraine na Urusi: vita vyaweza kuuza nchi

    Kama kuna kitu nimejifunza kutokana na kurushiana maneno kati ya Trump na rais wa Marekani na Zelensky wa Ukraine, ni kwamba vita vinaweza kusanbabisha mtu kuuza nchi yake. Marekani imetumia pesa nyingi kumsaidia Ukraine kupambana na Urusi. Pesa hizo ziko kwa mfumo wa vifaa vya kijeshi na...
  2. Zelensky: Putin hataki kumaliza vita Kidiplomasia

    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema Kiev ingependa kukomboa maeneo yaliyochukuliwa na Urusi kwa njia ya kidiplomasia, lakini Vladimir Putin amedhamiria kuendeleza mapambano ya kijeshi. Zelensky amesema baada ya uvamizi wa Urusi kuanza, Ukraine ilifanikiwa kukomboa tena zaidi ya 50% ya...
  3. B

    Urusi vs Ukraine 24 Nov 2024

    Habari Wandugu, Mbona sioni mada yoyote jinsi Urussi alivyochakazwa na ukraine juzi? 24 Nov 24? Nasikia mpk machuma sijui S400 chakazwa vibaya, kambi ya jesh na top leader wanne wame R.I.P sa hiv wanaenda kupatana na Talebani aaah kweli vita ni mbaya unaweza kula hata Mavi. Go home...
  4. I

    Urusi yahaha kukabiliana na uvamizi wa Ukraine

    Katika hali inayoonyesha kugeuziwa kibao, Russia sasa inahaha kupambana na uvamizi uliofanywa na majeshi ya Ukraine katika ardhi yake. Jeshi la Urusi limesema "linaendelea kurudisha nyuma" uvamizi wa Ukraine wa kuvuka mpaka katika eneo la Kursk magharibi - shambulio la kushtukiza sasa katika...
  5. Marekani na Urusi wanapigana vita ya nini wakati wanashirikiana kwenye mambo mengi tu?

    Ni wazi vita ya Russia na Ukraine ni vita ya Russia na marekani na ndo maana marekani anatoa misaada sana Ukraine nadhani ndo taifa la kwanza linaloongoza kupewa pesa nyingi ikifuatiwa na Israeli. Kwa Africa ni Nigeria ndo linaloongoza kupewa michango. Nije kwenye point yangu. Kwanini marekani...
  6. Mashabaki na wafuasi wa Urusi wanazidi kushuhudia uongo wao wa kupendwa na raia wengi Ulaya

    Mojawapo ya mafunzo makubwa kabisa katika chaguzi za karibuni za Ulaya ni kwamba kwa raia wengi wa bara hilo Urusi bado sio nchi muhimu kwao na haina uwezo wa kushawishi kupendwa ndani ya nchi nyingi za Ulaya kama viongozi wake walevi na mashabiki wake wengi walivyokuwa wanajiaminisha. Wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…