Jinsi Ukraine ilivyotekeleza shambulizi dhidi ya ndege 40 za Urusi

Jinsi Ukraine ilivyotekeleza shambulizi dhidi ya ndege 40 za Urusi

Umkonto

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
3,337
Reaction score
5,876
Habari zilizopita ziliripoti shambulizi. Habari hii inahusu jinsi shambulizi lilivyopangwa kwa muda muda mrefu na kufanyika.

Habari kamili;

Kwa mujibu wa vyanzo ndani ya kitengo cha SBU vilivyozungumza na idhaa ya Ukraine ya BBC, maelezo ya ziada jinsi kitengo hicho maalum cha Ukraine kilivyopanga na kutekeleza shambulizi la kutumia ndege zisizo na rubani dhidi ya kambi za jeshi la angani la Urusi.

Kulingana na SBU, kutokana na shambulizi hilo kwenye kambi hizo nne za jeshi la angani, ndege muhumi 41 za kivita za Urusi ziliharibiwa.

Mamlaka nchini Urusi zimethibitisha kwamba ndege zisizo na rubani zilishambulia maeneo ambayo kambi mbili za jeshi la angani zipo, ila hawajazungumzia hasara iliyopatikana hasa kwenye ndege za kivita.

Vyanzo ndani ya SBU vimesema kwamba , operehsni iliyotekelezwa mapema leo, ilipangwa kwa muda wa zaidi ya mwaka mmoja unusu, na kusimamiwa kibinafsi na Rais wa Ukraine Volodomyr Zelensky na kutekelezwa na mkuu wa usalama nchini Ukraine Vasyl Malyuk na wahudumu wa majukumu maalum.

Aidha vyanzo hivyo ndani ya SBU vimethibitisha kwamba ndege zisizo na rubani kutoka Ukraine zilikuwa zikipaa angani kutoka kwa malori ambayo yaliendeshwa hadi nje ya kambi hizo za kijeshi.

“SBU ilituma ndege hizo zisizo na rubani za aina ya FPV hadi Urusi, na kisha baadae kutuma nyumba za mbao ambazo zinaweza kusafirhishwa,” ripoti hiyo ilisema.”

Baadaye, zilipowasili katika himaya ya Urusi, ndege hizo zilifichwa chini ya paa za nyumba hizo ambazo zilikuwa zimewekwa juu ya Malori.
Na wakati mwafaka ulipofika, paa za nyumba hizi zilifunguliwa kwa mbali na ndege hizo kulenga silaha za kurusha makombora za Urusi.”

Wakati huo huo, vyanzo vingine vya SBU vimedai kwamba “walioshiriki katika shambulizi hilo maalum ya kijeshi wamekuwa Urus kwa muda mrefu sana.”
Idhaa ya Ukraine ya BBC pia imepata picha za wakati ambapo ndege hizo zilipotekeleza shambulizi hilo.

Kwa misingi ya hali ya vita hivi, BBC haiwezi kuthibitisha uzito wa taarifa kutoka kwa maafisa wa serikali ya mataifa hayo mawili.

Chanzo: BBC Swahili
 
Hakuna ndege arobaini zilizo haribiwa based on videos and Satellite images ni kama kumi tu hivi, katika AirBases zote, Ushahidi huu hapa na hizi Images nimezitoa kwenye Telegram channels za Ukrainians wenyewe.
20250602_073223.jpg

20250602_073059.jpg
 
Hakuna ndege arobaini zilizo haribiwa based on videos and Satellite images ni kama kumi tu hivi, katika AirBases zote, Ushahidi huu hapa na hizi Images nimezitoa kwenye Telegram channels za Ukrainians wenyewe.
View attachment 3353177
View attachment 3353178
Punguza mahaba Mzee wa Russia wenyewe hawaja kana hizo taarifa za ndege zaidi ya 40 kuharibiwa ila ww mmatumbi wa kibaigwa uko juu kabisa kupinga habari 😆😆
 
Punguza mahaba Mzee wa Russia wenyewe hawaja kana hizo taarifa za ndege zaidi ya 40 kuharibiwa ila ww mmatumbi wa kibaigwa uko juu kabisa kupinga habari 😆😆
Tatizo mnaendeshewa akili na wengine, Russia ilikua under attack lakini kiwango cha damage ndicho kimekua exaggerated (Kikubwa zaidi kuliko uhalisia) ndio point yangu na hizo ni taarifa kutoka kwenye Western satellite images.
Angalia hata kwenye channels za Western military analysts ndo utajua kichwani wewe ni mweupe kuliko chaki.
 
Asante dada Rhobi na hongera kwa kujaaliwa matako makubwa akili kisoda utaendelea kuzalia apo nyumbani mpaka uzeeni Kila mtoto na baba yake
 
"Wanaripoti" ama "wanalipoti",? hujui kutofautisha kati ya r na l anzia hapo kwanza mengine usiyoyajua kaa kimya.
Kikubwa ushaelewa nini namanisha, acha kujizima dada.mkiambiwa mtoe picha hata za ndege 7 zilizoaribiwa mnabaki kukimbia kimbia tu
 
Punguza mahaba Mzee wa Russia wenyewe hawaja kana hizo taarifa za ndege zaidi ya 40 kuharibiwa ila ww mmatumbi wa kibaigwa uko juu kabisa kupinga habari 😆😆
Zimeshambuliwa
 
Uwezi shida Vita kwa uwongo uwongo tu.na nyie mmeacha kufanya kazi mnakimbia jukwaani kuleta habari ya uwongo bila hata kujiongeza.Ndege 40 🤣🤣🤣
 
Tatizo mnaendeshewa akili na wengine, Russia ilikua under attack lakini kiwango cha damage ndicho kimekua exaggerated (Kikubwa zaidi kuliko uhalisia) ndio point yangu na hizo ni taarifa kutoka kwenye Western satellite images.
Angalia hata kwenye channels za Western military analysts ndo utajua kichwani wewe ni mweupe kuliko chaki.
KYIV, Ukraine (AP) — A Ukrainian drone attack has destroyed more than 40 Russian planes deep in Russia’s territory, Ukraine’s Security Service said on Sunday, while Moscow pounded Ukraine with missiles and drones just hours before a new round of direct peace talks in Istanbul.

A military official, who spoke with The Associated Press on condition of anonymity to disclose operational details, said the far-reaching attack took more than a year and a half to execute and was personally supervised by Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy. By SAMYA KULLAB-Associated Press
 
Back
Top Bottom