Jinsi Ukraine ilivyotekeleza shambulizi dhidi ya ndege 40 za Urusi

Una stress na maisha aisee Kuna mambo yako hayako sawa kati ya kifedha ama kimahusiano. Lete bank statement tuone Kama utakuwa na 50M ama kadi ya gari lako na nyumba hata uwe nayo , sijui Kama una kimojawapo. Yaani hasira zinaendana na umasikini na umeongea lugha chafu mno sijui ndivyo ulivofundishwa kwenu, yaani wazazi wako walimu na walezi wako ndio matunda yao hayo kweli ,Kuna mahala Kuna nyufa sio shida kabisa. Jamaa akakujibu where to get evidence about those shit to prove your arguments Ila umekuja na mdomo ambao mie hata sijawahi uusikia tokea nizaliwe aisee ama ndio Koo yenu ilivyo, Kuna Kila watu na DNA zao mkuu.
Umenisaidia Bro.✌️✌️✌️
 
YAANI WALIPANGA SHAMBULIO MOJA ZAIDI YA MWAKA?HAO WAKO SIRIAZ KWELI NA HII VITA...NGOJA TUSUBIRI MAJIBU YATAKUWAJE!
Siku kisago kikija kukushuka Dunia itaomba poo, Tuko hapa huu upuuzi ndo walifanya Hamas kikawaramba, wamebomoa madaraja wakalipua na Bombers, Ukraine itajuta soon tu.
 
Una stress na maisha aisee Kuna mambo yako hayako sawa kati ya kifedha ama kimahusiano. Lete bank statement tuone Kama utakuwa na 50M ama kadi ya gari lako na nyumba hata uwe nayo , sijui Kama una kimojawapo. Yaani hasira zinaendana na umasikini na umeongea lugha chafu mno sijui ndivyo ulivofundishwa kwenu, yaani wazazi wako walimu na walezi wako ndio matunda yao hayo kweli ,Kuna mahala Kuna nyufa sio shida kabisa. Jamaa akakujibu where to get evidence about those shit to prove your arguments Ila umekuja na mdomo ambao mie hata sijawahi uusikia tokea nizaliwe aisee ama ndio Koo yenu ilivyo, Kuna Kila watu na DNA zao mkuu.
Kwa Salamaleko karibu wote wana midomo michafu kama tundu la choo!!!
 
Siku kisago kikija kukushuka Dunia itaomba poo, Tuko hapa huu upuuzi ndo walifanya Hamas kikawaramba, wamebomoa madaraja wakalipua na Bombers, Ukraine itajuta soon tu.
Hakuna kitu kama hicho Ukraine wako vizuri kwa defensive watanyooka tu!!!
 
Mbona hakuna media yoyote iliyokanusha hiyo habari?
🤣🤣🤣🤣 Sasa media imeingiaje hapo kwenye kukanusha habari.media toka lini ikawa kazi yake kukanusha habari, kazi ya media ni kuripoti habari
kama unavyopinga wewe, kwamba si tukio la kweli, na media zote zilizohabarisha unasema ni fabrication/exaggerated news, we unaziamini media gani?
Kesi bila ushahidi sio kesi au umesahau kinachofunga mtu ni ushahidi.wewe unasema 40, mimi nasema 3.ili kujua nani mkweli basi weww toa ushahidi wa kuonyesha umelipua ndege 40.tofauti na hapo utakuwa unaongea kufurahisha genge
 
Mimi sina shida na shambulio hilo wala ushahidi wa hilo shambulio. Shida niionayo mimi ni majibu ama mrejesho kutoka kwa PUT IN baada ya muda wa majigambo haya kupita.

Vilio vitasikika Ulaya yote wakiililia Ukraine.

🤣🤣🤣🤣 Sasa media imeingiaje hapo kwenye kukanusha habari.media toka lini ikawa kazi yake kukanusha habari, kazi ya media ni kuripoti habari

Kesi bila ushahidi sio kesi au umesahau kinachofunga mtu ni ushahidi.wewe unasema 40, mimi nasema 3.ili kujua nani mkweli basi weww toa ushahidi wa kuonyesha umelipua ndege 40.tofauti na hapo utakuwa unaongea kufurahisha genge
Bodo sijaelewa unachobishia, na wewe leta ushahidi kuwahilo shambulio halijatokea, kwa nini una doubt kila habari ya ushindi mdogo wa 🇺🇦

KYIV, Ukraine (AP) — A Ukrainian drone attack has destroyed more than 40 Russian planes deep in Russia’s territory, Ukraine’s Security Service said on Sunday, while Moscow pounded Ukraine with missiles and drones just hours before a new round of direct peace talks in Istanbul.

A military official, who spoke with The Associated Press on condition of anonymity to disclose operational details, said the far-reaching attack took more than a year and a half to execute and was personally supervised by Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy. By SAMYA KULLAB-Associated Press
 
Hakuna anayebisha kuwa haijatokea bali kiwango cha ndege ndo sio kweli.WARUSI wamesema ndege 7 ndo zimepata majanga ila 3 zinaweza kurudi kufanya kazi ivi karibuni. Sasa habari ya ndege 40 wao wanaitoa wapi, kama wanaushahidi waweke nasisi tuone izo ndege 40
 
Kwa kifupi jamaa huyo hataki kuamini kuwa Russia kapigwa maana yeye anajua ni Supapawa!!!
Hakuna anayebisha kuwa drone zimepiga base bali kiwango cha uwaribifu kimekuzwa sana. Mara nyingi tunaminishwa kuwa Warusi wamekuwa watu wa kupata hasara ila Ukraine wao awapati hasara, sasa swali la kujiuliza mwenye kupata hasara anazidi kuchukua miji ila yule asiyepata hasara anazidi kurudi nyuma
 
Sikiliza hotuba ya Rais wa Ukraine Zelenskyy kataja idadi wewe ni nani hata upinge habari iliyotolewa na Amiri Jeshi Mkuu? Au wewe unataka kusikia Ukraine imepigwa na Russia? Kaa kwa kutulia Russia ana kibarua kisumu sana kwa Ukraine!!!
 
🤣🤣🤣🤣 Sasa media imeingiaje hapo kwenye kukanusha habari.media toka lini ikawa kazi yake kukanusha habari, kazi ya media ni kuripoti habari

Kesi bila ushahidi sio kesi au umesahau kinachofunga mtu ni ushahidi.wewe unasema 40, mimi nasema 3.ili kujua nani mkweli basi weww toa ushahidi wa kuonyesha umelipua ndege 40.tofauti na hapo utakuwa unaongea kufurahisha genge
Kwani tuko mahakamani?
 
Hakuna anayebisha kuwa drone zimepiga base bali kiwango cha uwaribifu kimekuzwa sana. Mara nyingi tunaminishwa kuwa Warusi wamekuwa watu wa kupata hasara ila Ukraine wao awapati hasara, sasa swali la kujiuliza mwenye kupata hasara anazidi kuchukua miji ila yule asiyepata hasara anazidi kurudi nyuma
Idadi ya ndege zilizolipuliwa zinakusaidia nini? Media zote zimeripoti idadi ni 40, kama una doubt wasiliana na hizo media.
 
Ni kweli shambulio limetokea. Lakini, udhibitisho wa ndege arobaini kuharibiwa kiasi cha kutotumika haujapatikana bado.
Idadi ya ndege zilizolipuliwa zinakusaidia nini? Media zote zimeripoti idadi ni 40, kama una doubt wasiliana na hizo media.
Ngoja nimsaidie mimi nimpe clip ya Rais wa Ukraine 🇺🇦 aisikilize lakini kwa kuwa hajitambui ataikataa!!!! Sikiliza clip zote mbili utaelewa
 
Attachments

  • v12025gd0000d0ubptvog65p03or1u7g.mp4
    2.1 MB
  • v12025gd0000d0udvpvog65rjeb42at0.mp4
    2.2 MB
Ila hii vita kiutautani unaweza kumuondoa Putin.
 
ndege muhumi 41 za kivita za Urusi ziliharibiwa.

Ukraine 'destroyed at least 13 planes' during attacks​

An official from Ukraine's national security and defence council official has given an update from yesterday's audacious attacks on Russian air bases.

Yesterday, Ukraine said they had hit planes deep in Russian territory during an operation planned over 18 months.

Andriy Kovalenko has just said at least 13 jets were destroyed, with other planes damaged.

Monday 2 June 2025 18:26, UK

Hakuna ndege arobaini zilizo haribiwa based on videos and Satellite images ni kama kumi tu hivi

Ukraine 'destroyed at least 13 planes' during attacks​

An official from Ukraine's national security and defence council official has given an update from yesterday's audacious attacks on Russian air bases.

Yesterday, Ukraine said they had hit planes deep in Russian territory during an operation planned over 18 months.

Andriy Kovalenko has just said at least 13 jets were destroyed, with other planes damaged.

Monday 2 June 2025 18:26, UK

KYIV, Ukraine (AP) — A Ukrainian drone attack has destroyed more than 40 Russian planes deep in Russia’s territory

Ukraine 'destroyed at least 13 planes' during attacks​

An official from Ukraine's national security and defence council official has given an update from yesterday's audacious attacks on Russian air bases.

Yesterday, Ukraine said they had hit planes deep in Russian territory during an operation planned over 18 months.

Andriy Kovalenko has just said at least 13 jets were destroyed, with other planes damaged.

Monday 2 June 2025 18:26, UK

Ukraine 'destroyed at least 13 planes' during attacks​

An official from Ukraine's national security and defence council official has given an update from yesterday's audacious attacks on Russian air bases.

Yesterday, Ukraine said they had hit planes deep in Russian territory during an operation planned over 18 months.

Andriy Kovalenko has just said at least 13 jets were destroyed, with other planes damaged.

Monday 2 June 2025 18:26, UK

Hiyo achana nayo ina ubishi wa kuzaliwa na haijui kitu.
 
Back
Top Bottom