Jinsi Ukraine ilivyotekeleza shambulizi dhidi ya ndege 40 za Urusi

Asante dada Rhobi na hongera kwa kujaaliwa matako makubwa akili kisoda utaendelea kuzalia apo nyumbani mpaka uzeeni Kila mtoto na baba yake
Hakika unajua kuwasimanga watu Kisa tu mmepishana naye mawazo!!! Mbeleni wewe utakuja kuwa Gaidi!!
 
Mimi sina shida na shambulio hilo wala ushahidi wa hilo shambulio. Shida niionayo mimi ni majibu ama mrejesho kutoka kwa PUT IN baada ya muda wa majigambo haya kupita.

Vilio vitasikika Ulaya yote wakiililia Ukraine.
 
Habari zilizopita ziliripoti shambulizi. Habari hii inahusu jinsi shambulizi lilivyopangwa kwa muda muda mrefu na kufanyika.

Habari kamili;

Kwa mujibu wa vyanzo ndani ya kitengo cha SBU vilivyozungumza na idhaa ya Ukraine ya BBC, maelezo ya ziada jinsi kitengo hicho maalum cha Ukraine kilivyopanga na kutekeleza shambulizi la kutumia ndege zisizo na rubani dhidi ya kambi za jeshi la angani la Urusi.

Kulingana na SBU, kutokana na shambulizi hilo kwenye kambi hizo nne za jeshi la angani, ndege muhumi 41 za kivita za Urusi ziliharibiwa.

Mamlaka nchini Urusi zimethibitisha kwamba ndege zisizo na rubani zilishambulia maeneo ambayo kambi mbili za jeshi la angani zipo, ila hawajazungumzia hasara iliyopatikana hasa kwenye ndege za kivita.

Vyanzo ndani ya SBU vimesema kwamba , operehsni iliyotekelezwa mapema leo, ilipangwa kwa muda wa zaidi ya mwaka mmoja unusu, na kusimamiwa kibinafsi na Rais wa Ukraine Volodomyr Zelensky na kutekelezwa na mkuu wa usalama nchini Ukraine Vasyl Malyuk na wahudumu wa majukumu maalum.

Aidha vyanzo hivyo ndani ya SBU vimethibitisha kwamba ndege zisizo na rubani kutoka Ukraine zilikuwa zikipaa angani kutoka kwa malori ambayo yaliendeshwa hadi nje ya kambi hizo za kijeshi.

“SBU ilituma ndege hizo zisizo na rubani za aina ya FPV hadi Urusi, na kisha baadae kutuma nyumba za mbao ambazo zinaweza kusafirhishwa,” ripoti hiyo ilisema.”

Baadaye, zilipowasili katika himaya ya Urusi, ndege hizo zilifichwa chini ya paa za nyumba hizo ambazo zilikuwa zimewekwa juu ya Malori.
Na wakati mwafaka ulipofika, paa za nyumba hizi zilifunguliwa kwa mbali na ndege hizo kulenga silaha za kurusha makombora za Urusi.”

Wakati huo huo, vyanzo vingine vya SBU vimedai kwamba “walioshiriki katika shambulizi hilo maalum ya kijeshi wamekuwa Urus kwa muda mrefu sana.”
Idhaa ya Ukraine ya BBC pia imepata picha za wakati ambapo ndege hizo zilipotekeleza shambulizi hilo.

Kwa misingi ya hali ya vita hivi, BBC haiwezi kuthibitisha uzito wa taarifa kutoka kwa maafisa wa serikali ya mataifa hayo mawili.

Chanzo: BBC Swahili
YAANI WALIPANGA SHAMBULIO MOJA ZAIDI YA MWAKA?HAO WAKO SIRIAZ KWELI NA HII VITA...NGOJA TUSUBIRI MAJIBU YATAKUWAJE!
 
Nasikiaga tu Ukraine akilia licha ya taarifa kua Urusi anapigwa
 
Aina hiyo ya shambulio wenyewe wanaiita "Long Range Deep Asset Attack". Yaani mfano Tz inapigana vita na Kenya, kisha Kenya anapiga kambi kubwa ya ndege za kijeshi ya Tz iliyoko huko mkoani Mbeya.
 
YAANI WALIPANGA SHAMBULIO MOJA ZAIDI YA MWAKA?HAO WAKO SIRIAZ KWELI NA HII VITA...NGOJA TUSUBIRI MAJIBU YATAKUWAJE!
Muda si tatizo maana wanaweza wakapanga na wakafaniiwa kupiga. Shida Inakuja inapochukua miaka 3 Russia kuhangaika na Ukraine 🇺🇦
 
ilichukua miezi kumi na nane kuandaa hilo shambulio ,ni operation kubwa na bora kuwahi kufanikiwa ,kwani dron ziliingizwa russia kwa njia ya malori ya mizigo,waliozioperate walikua rusia mpaka mda huu russia inawasaka ,ikiwemo kufunga mipaka yake
 
Attachments

  • v12025gd0000d0udvpvog65rjeb42at0.mp4
    2.2 MB
  • v12025gd0000d0ubptvog65p03or1u7g.mp4
    2.1 MB
Majibu ya hili shambulio yatakua mabaya sana.
Yatakua mabaya kupitiliza.
 
Asante dada Rhobi na hongera kwa kujaaliwa matako makubwa akili kisoda utaendelea kuzalia apo nyumbani mpaka uzeeni Kila mtoto na baba yake
Una stress na maisha aisee Kuna mambo yako hayako sawa kati ya kifedha ama kimahusiano. Lete bank statement tuone Kama utakuwa na 50M ama kadi ya gari lako na nyumba hata uwe nayo , sijui Kama una kimojawapo. Yaani hasira zinaendana na umasikini na umeongea lugha chafu mno sijui ndivyo ulivofundishwa kwenu, yaani wazazi wako walimu na walezi wako ndio matunda yao hayo kweli ,Kuna mahala Kuna nyufa sio shida kabisa. Jamaa akakujibu where to get evidence about those shit to prove your arguments Ila umekuja na mdomo ambao mie hata sijawahi uusikia tokea nizaliwe aisee ama ndio Koo yenu ilivyo, Kuna Kila watu na DNA zao mkuu.
 
Back
Top Bottom