us dollar

  1. BabaMorgan

    Bongo mtihani sana just imagine kuuziwa US dollar kwenye bureau mpaka connection

    Unaenda kwenye Bureau unakuta mwenzio anauziwa dollar vizuri ila ikifika zamu yako unaambiwa stock imeisha inabidi uwe humble tu maana hii Tanzania Kila kitu ukichukulia personal basi options ni mbili kuzeeka mapema au kufa mapema.
  2. Mathanzua

    Rasmi Putin aonesha sample za noti mpya za BRICS. Je, huu ndio mwisho wa US Dollar?

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin, wakati yupo kwenye mkutano mkuu wa BRICS uliofanyika Kazan aliwashangaza washiriki kwa kugawa sampuli za noti mpya za Benki ya BRICS, ishara inayodaiwa kuwa mwisho wa enzi kwa Dola ya Marekani kama sarafu ya akiba duniani. Noti hizo za BRICS, ambazo zimeonekana...
Back
Top Bottom