us election 2020

  1. Tatenda Ngara

    How psychology determines your vote in an Election with you unaware

    The success of any election depends on whether it was free and fair both to the candidates and the voters. Due to media coverage of national elections locally, regionally and globally, subtle psychological cues have become popular and are being used in student Representative Council (SRC)...
  2. Nyani Ngabu

    US Election 2020

    This year’s election is gonna be one for the books! Out of 330 million plus people, these two are the best the US can offer 🤣. Tweedledee and Tweedledum. A disaster and a catastrophe. Which one is Tweedledee and which one is Tweedledum or which one is a disaster and which one is a...
  3. FRANC THE GREAT

    US election 2020: Nani kuwa mgombea mwenza wa Joe Biden kati ya hawa?

    Habari! Mnamo mwezi Machi, Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani Joe Biden aliahidi kumteua mwanamke kuwa mgombea mwenza iwapo atateuliwa na Chama cha Democratic kuwania kiti cha Urais kwenye uchaguzi ujao wa mwezi Novemba hapo baadaye mwaka huu. Kwa yule asiyefahamu, Joe Biden hivi sasa ndiye...
  4. FRANC THE GREAT

    US election 2020: Joe Biden, kinara katika kura za maoni. Trump, hali ni tete!

    Habari! Hali si hali kwa rais Donald Trump, wapenzi na wafuasi wa Chama cha Republican kwa ujumla wakati ambapo tukielekea katika Uchaguzi wa Rais panapo mwezi Novemba mwaka huu. Hii ni kulingana na matokeo ya hivi karibuni ya kura mpya za maoni za kitaifa za jarida la New York Times pamoja na...
  5. FRANC THE GREAT

    Hizi kauli za Joe Biden kuelekea uchaguzi wa Novemba zinaashiria kitu gani?

    Habari! Awali ya yote, natumai mu wazima wa afya. Nimemsikia Joe Biden akisema kuwa ana wasiwasi kwamba rais Donald Trump "atajaribu kufanya wizi" katika uchaguzi ujao wa rais wa mwezi Novemba mwaka huu. Joe Biden hakuishia hapo tu bali amedai kuwa anaamini Jeshi litalazimika kumuondoa kwa...
  6. FRANC THE GREAT

    US election 2020: Trump kurejesha kampeni zake Juni 19 katika maadhimisho ya siku ya kukomeshwa kwa utumwa nchini Marekani

    Duru zinaarifu kuwa Rais Donald Trump anapanga kurejesha kampeni zake za uchaguzi kwa kufanya mkutano wake wa kwanza panapo Juni 19 mjini Tulsa, Oklahoma. Juni 19 ni siku inayofahamika kitaifa kama Juneteenth ambayo ni kumbukizi ya siku ya kukomeshwa kwa utumwa nchini Marekani. Trump alitoa...
Back
Top Bottom