Habarini za mchana wapwa?
Kama mada inavojieleza. Ukiwa faragha na mwenzako baada ya kufanya mambo yenu huwa mnafanya nini ili kuwa wasafi? Mfano kwa mwanamke, baada ya bao la kwanza huwa anajifuta au ananawa na maji? Hivyo hivyo baada ya bao la pili n.k, utaendelea kujifuta/kunawa na maji...