Zurie
Platinum Member
- Jul 6, 2014
- 2,089
- 5,966
It is very common kwa wanaume kuona kuwa mwanamke "ameharibika" kwa kuwa amefanya ngono na mwanaume.
Tena kuna wale ambao anamnyanyapaa/kumsemea mbovu mwanamke aliyelala naye yeye mwenyewe. Yaani baada ya kumla anamuona trash flani.
Sasa, kama mwanamke akiwa bikra ana thamani sana, akishafanya ngono na wanaume anakuwa amechafuka au kuharibika, does this mean wanaume ndo chanzo cha huo uchafu? Yaani jinsia ya kiume ni takataka hadi inaweza kuchafua jinsia ya kike?
Wale advocates wa "usioe hadi awe bikra", njooni mnieleweshe. Hapa uchafu unakuwa umetoka wapi?