Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Ndo nanu huyo mbona code ngumuKijana wa kahama aliushuhudia live mpaka kusimulia
Ndo nanu huyo mbona code ngumuKijana wa kahama aliushuhudia live mpaka kusimulia
Kwahiyo wanaume ni wachafu?Uchafu umetoka kwa wanaume wengine. Ni kama tu wewe hapo sasa hivi, nikikupa bakuli la mchuzi mtamu lenye lailoni ufungue uchovye kidole ulambe utalamba bila shida, ila ukiona watu watatu wanne wametangulia kuchovya vidole ndo ukapewa wewe hata kama walinawa utaona ni uchafu.
Ni hivi, Taka kabla hazijatupwa si taka ni thamani, na jalala kabla halijapokea taka si jalala ni eneo safi. Sasa sisi Wanaume huweka thamani zetu kwenye maeneo safi na taka zetu jalalani.Kwahiyo wanaume ni wachafu?
Vipi umri ukiwa mdogo ?Purity = innocence = loyalty
Hii ipo kwa wanaume na wanawake ila kijamii ipo perceived zaidi kwa wanawake kwa sababu wao ndio waolewaji | wachaguliwaji hivyo, hakuna mteja mbovu ila mali mbovu.
Kwa hiyo kuchafuka kupo zaidi kiroho na kihisia zaidi kuliko kimwili.
Bottom line utaenda mbele utarudi nyuma. Ila Ubikra wa mwanamke tena akiwa na umri mkubwa kwa dunia ya leo. Ni ishara kubwa sana ustahimilivu, msimamo na loyalty. Ila haimaanishi hivi vitu vitaendelea kuwepo ukimuoa ila at least guarantee ni kubwa zaidi kuliko mwenye maex 20
Mwanamke na mwanaume hawahukumiwi kwa vigezo vinavyofanana. Suala la kufanya ngono kiholela holela linahukumu zaidi profile ya mwanamke.It is very common kwa wanaume kuona kuwa mwanamke "ameharibika" kwa kuwa amefanya ngono na mwanaume.
Tena kuna wale ambao anamnyanyapaa/kumsemea mbovu mwanamke aliyelala naye yeye mwenyewe. Yaani baada ya kumla anamuona trash flani.
Sasa, kama mwanamke akiwa bikra ana thamani sana, akishafanya ngono na wanaume anakuwa amechafuka au kuharibika, does this mean wanaume ndo chanzo cha huo uchafu? Yaani jinsia ya kiume ni takataka hadi inaweza kuchafua jinsia ya kike?
Wale advocates wa "usioe hadi awe bikra", njooni mnieleweshe. Hapa uchafu unakuwa umetoka wapi?
Kumbe watu siku hizi MNAKULANA🤔?It is very common kwa wanaume kuona kuwa mwanamke "ameharibika" kwa kuwa amefanya ngono na mwanaume.
Tena kuna wale ambao anamnyanyapaa/kumsemea mbovu mwanamke aliyelala naye yeye mwenyewe. Yaani baada ya kumla anamuona trash flani.
Sasa, kama mwanamke akiwa bikra ana thamani sana, akishafanya ngono na wanaume anakuwa amechafuka au kuharibika, does this mean wanaume ndo chanzo cha huo uchafu? Yaani jinsia ya kiume ni takataka hadi inaweza kuchafua jinsia ya kike?
Wale advocates wa "usioe hadi awe bikra", njooni mnieleweshe. Hapa uchafu unakuwa umetoka wapi?
Hayo matiti yemechongoka kama ncha ya piramidi 😋😋.Uchafu hakuna , sijui hao wachafu wanaowaokotea wap
View attachment 3599833
Ningeshangaa sana ungekosekana kwenye 1&2.Mwanamke na mwanaume hawahukumiwi kwa vigezo vinavyofanana. Suala la kufanya ngono kiholela holela linahukumu zaidi profile ya mwanamke.
Hii haimaanishi kwa upande wa mwanaume yeye ni tambalale tu. Kuna mambo ambayo yanamuhuku mwanaume lakini mwanamke haguswi. Mfano suala kuthaminiwa mpaka uwe na mali/hela. Mwanaume na mwanamke wote wamepewa fursa sawa na wana haki ya kuthaminiwa utu wao. Lakini mwanamke atathaminiwa hata akiwa masikini, ila mwanaume ni lazima kwanza awe na hela ndio athaminiwe.
Is not fair, is harsh but that's nature. You can't wrestle it
Sasa wewe unakubali kutoa K kabla sjakuoa kwanini usionekane trashIt is very common kwa wanaume kuona kuwa mwanamke "ameharibika" kwa kuwa amefanya ngono na mwanaume.