Habari wana JF
Nimeanzisha mjadala huu kwa ajili ya kubadilishana uzoefu kuhusu usafi wa nyumbani.
Kila mmoja ana changamoto yake katika usafi; wengine wanapata shida kuondoa uchafu kwenye tiles na sinki, wengine kwenye nguo, huku wengine wakitafuta sabuni nzuri kwa matumizi ya kila siku...