Ni kitu gani kinakusumbua zaidi unapofanya usafi wa nyumbani?

Ni kitu gani kinakusumbua zaidi unapofanya usafi wa nyumbani?

Habibatamimu

Member
Joined
Oct 1, 2026
Posts
17
Reaction score
17
Habari wana JF

Nimeanzisha mjadala huu kwa ajili ya kubadilishana uzoefu kuhusu usafi wa nyumbani.

Kila mmoja ana changamoto yake katika usafi; wengine wanapata shida kuondoa uchafu kwenye tiles na sinki, wengine kwenye nguo, huku wengine wakitafuta sabuni nzuri kwa matumizi ya kila siku.

Kwako, ni sehemu gani ya usafi wa nyumbani inayokusumbua zaidi?

Na ni bidhaa gani ya usafi ungependa ipatikane kwa urahisi na kwa bei nafuu?

Tupe uzoefu wako kwenye comments. Tujifunze kutoka kwa kila mmoja.
 
Mimi sifanyagi usafi mkuu, nakaa hadi chumba kijae uchafu alafu nahama tu, sitaki usumbufu aiseee....🫤
 
Mimi sifanyagi usafi mkuu, nakaa hadi chumba kijae uchafu alafu nahama tu, sitaki usumbufu aiseee....🫤
😂😂 Mkuu were usafi umekukataa kabisa!
Hiyo ni level ya cleaning services ya kuhama chumba😂😂😂
 
Back
Top Bottom