Ndugu zangu Wanaume Wapambanaji, huu uzi ni kwaajili yetu sote.
Hivi wale wanawake au wadada ambao walikua akija gheto anafanya usafi wa maana yaani atafua nguo zote, atapika, ataosha vyombo, atasafisha viatu, atapanga vitu gheto vizuri, atakunyooshea nguo zote atapanga vizuri kabatini. Atatoka...