WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), amesema kuwa kupitia mfumo wa usafirishaji wa vifurushi, mizigo, na abiria Serikali itaimarisha uchumi wa kidijitali, kukuza baishara mtandao na kuleta ajira nyingi kwa vijana hususan madereva wa pikipiki (bodaboda)...
Habari wana JamiiForums,
Mimi ni mtaalam wa kuunda software za simu na kompyuta. Natamani kutengeneza mfumo wa logisitics/delivery ambayo itagusa kila mfanyabiashara ambaye biashara yake inafanya delivery ndani na nje ya mkoa husika. Sijaona mifumo inayogusa maeneo hayo moja kwa moja...
🌍 GOOD NEWS: USAFIRI NA UHAKIKA KWA WAAGIZA NA WAUZAJI WA MIZIGO YA KIMATAIFA 🌍
255626201416
Unataka kuagiza mizigo kutoka China 🇨🇳 au kuuza bidhaa za Kitanzania nje ya nchi 🌏? Faidika na huduma zetu za kipekee:
🛡️ Lipa Baada ya Kupokea Mzigo
Tunamlipa supplier wako baada ya mzigo kufika...
Habari wana forums,
Nina mteja (company) kutoka UAE ambaye anatafuta reliable supply ya UBC aluminum scrap. Ikiwa una bidhaa hii au una taarifa za mtu/mashirika yanayoweza kuwa nayo, tafadhali tuwasiliane kwa mazungumzo zaidi.
Malipo ni cash, na bidhaa zitapelekwa nje kwenda Thailand...
Ikiwa ni mwendelezo wa utoaji elimu kwa makundi mabalimbali katika jamii kikosi cha wanamaji dawati la jinsia na watoto limewafikia watumiaji wa vyombo vya majini na kuwapa elimu ya ukatili ikiwa ni pamoja elimu ya usafirishaji haramu wa binadamu.
Akiongea wakati wa utoaji elimu hiyo...
China imezuia uuzaji wa madini muhimu ya gallium, germanium na antimony kwenda Marekani.
Madini hayo yanatumika katika utengenezaji wa vifaa vya kielekroniki pamoja na silaha.
Katika taarifa yake kuhusu zuio hilo,wizara ya biashara ya China imesema China imeamua kufanya hivyo kwa sababu za...
Moja kwa moja niende kwenye mada inayohusu vyuo vingi lakini hasa Chuo cha Usafirishaji Tanzania (NIT), ambapo limetoka tangazo linalowataka wanafunzi kulipa asilimia 50 ya ada ili kuruhusiwa kufanya Test 1.
Kwa kuwa mhula umeanza hivi karibuni na tunafahamu vipato vinatofautiana, baadhi ya...
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), George Ķatabazi amesema sekta binafsi bado ni changamoto kwenye kutoa elimu kwa Wafanyakazi wao na jamii inayowazunguka juu ya madhara ya kemikali na jinsi ya kuepuka madhara hayo yasitokee.
Hayo...
Habari Wanajamii,
Natafuta kampuni nzuri nataka kusafirisha kiparcel changu kije Tanzania nataka kampuni iliyonyooka isiyo na longolongo, maana Kuna kampuni mbili nlikwishatumia zilinilet down vibaya mno.
Ambaye ashasafirishiwa na ana experience nzuri pls recommend
Asante
Habari tena wadau.
Natafuta kijana mkazi wa Dar es Salaam, kazi yake itakua ni kutafuta tenda ya kubeba mizigo kwenye makampuni na viwandani kwa kutumia malori. Elimu kuanzia certificate, mwenye uzoefu katika usafirishaji.
Mamlaka ya Udhibiti usafiri Ardhini LATRA imesitisha leseni ya usafarishaji kwa mabasi ya kampuni ya KATARAMA Luxury baada ya uchunguzi kubaini wamekuwa wakichezea mifumo ya udhibiti mwendo kwenye mabasi yao (VTS).
Aidha LATRA ametoa onyo kali kwa makampuni manne ya mabasi ambayo yamekuwa...
Kuna tabia ya ajabu hapa stand kuu Arusha, mabasi makubwa hasa yanayotoka Moshi hayapakii abiria hata km kuna nafasi. Ila matajiri wanamdharau huyu rais wa sasa, haya mambo sikuyaona kabla, wakati nauli ni TZS 6,000 mabasi yalikuwa yanapakia abiria. Sahivi nauli ya serikali ni TZS 8,000, pamoja...
Habari zenu ninataka kununua vitu online supplier anataka address ya msafirishaji ntakaemtumia, nimefanya research nimegundua kuna makampuni mengi ya usafirishaji.
Naomba mliowahi kusafirisha mizigo mtupe uzoefu, makampuni maarufu ni haya
1. Mapembelo
2. Silent ocean
3. Tosh cargo
4. Walinazi...
Kwenye Sector ya usafiri kuna Ma mafia wengi sana. I just saw picha ya gari la mzigo tena loose cargo inasafirisha wahamiaji haramu nikashangaa sana.
Yaani gari ukiona mzigo ni bomba za maji zimewekwa kwa kichanja. Ila ndani kuna chumba raia wamepumzika wanasafiri na maisha yanaendelea.
Sasa...
Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Comoro wa Sekta za Mifugo, Kilimo na Usafirishaji limefanyika kwa mafanikio katika mji wa Moroni.
Katika kongamano hilo lililofunguliwa rasmi na Gavana wa Kisiwa cha Ngazidja, Mze Mohamed Ibrahim, wafanyabiashara wa Tanzania walikutana na wenzao wa...
Bado nawaza siku hawa Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) nao wagome kama walivyofanya wafanyabiashara Kariakoo hali itakuaje?
Madai ya Maafisa;
1. Kamata kamata ya trafiki,
2. Bei ya mafuta kupanda,
3. Mikataba na wamiliki,
Sekta ya usafirishaji ni moja Kati ya sekta muhimu Sana kwenye maendeleo ya nchi yetu Tanzania. Sekta hii inahusisha usafirishaji wa mizigo pamoja na abiria. Sekta hii imeonekana haina mchango mkubwa katika pato la taifa kutokana na usimamizi mbovu haswa katika Stesheni nyingi za mabasi ambapo...
Wakuu habari....
Nahitaji huduma ya kusafirisha mzigo mkubwa kutoka mbeya kwenda mwanza tarehe 14 mpaka 16 may 2024
kama kuna mtu ana lori na ana safari ya mbeya mwanza ama yeyote anayehusika kusafirisha mzigo mkubwa kwa tarehe tajwa hapo juu naomba tuwasiliane kwenye namba hii 0758630294...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.