usafirishaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Angola Kukubaliana Kuunganisha Reli Zao, Kufungua Njia ya Usafirishaji Kati ya Bahari ya Atlantiki na Hindi

    Tanzania na Angola zimekubaliana kuunganisha mitandao yao mikubwa ya reli ili kutengeneza njia ya usafirishaji inayovuka bara la Afrika na kuunganisha Bahari ya Atlantiki na Bahari ya Hindi. Makubaliano hayo yametangazwa na Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na Rais wa Angola...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha usafirishaji wa Parachichi Nje ya nchi kwa Meli. Yatoa masharti mapya kwa Wafanyabiashara wa Maembe

    Mamlaka ya Kilimo na Chakula nchini Kenya (AFA) imetangaza kusitishwa kwa usafirishaji wa parachichi kwenda katika masoko ya kimataifa kwa njia ya bahari kuanzia Ijumaa, Oktoba 30, 2026, huku ikiweka masharti mapya kwa wafanyabiashara wanaosafirisha maembe nje ya nchi. Katika taarifa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua jina la kampuni ya usafirishaji mizigo toka Dar es laam kwenda Songea

    Ndugu wapendwa! Nataka kusafirisha mizigo yangu toka Dar kuja songea lakini sijui ni kampuni zipi za usafirishaji zinahusika. Mzigo ninaotaka kusafirisha ni freezer na sofa. Hivyo naomba mwenye kujua jina la kampuni inayotoa huduma hiyo pia na sehemu inapopatikana hiyo kampuni. Nawasilisha...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madereva Wasitisha Usafirishaji wa Mizigo kuelekea DRC Baada ya Wenzao 12 Kuripotiwa Kuuawa

    Madereva wa malori ya masafa marefu wamesitisha usafirishaji wa mizigo kuelekea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kufuatia taarifa za kuuawa kwa madereva 12, akiwemo Mkenya Mohamed Tahlil, kutokana na kuongezeka kwa ukosefu wa usalama nchini humo. Chama cha Madereva na Makondakta wa...
  5. O

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Je, Kenya Imepiga Marufuku Usafirishaji wa Gold Yote Nje ya Nchi?

    Taarifa kuhusu sera mpya ya madini zimeibua dhana kwamba Kenya imepiga marufuku kabisa export ya dhahabu, hivyo gold yoyote inayochimbwa nchini haiwezi tena kuuzwa nje.
  6. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Kwenu Maafisa Usafirishaji

  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Madereva wa Halmashauri ya Mji Kondoa (TC), tunafanya kazi katika mazingira magumu

    Sisi ni madereva wa Halmashauri ya Mji Kondoa, na tungependa kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu changamoto tunazokutana nazo kazini, hususan kuhusu mwenendo wa Afisa Usafirishaji wetu. Unyanyasaji na madai ya kugawana posho: Afisa Usafirishaji amekuwa akitunyanyasa na kututendea isivyo haki...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Pamoja na uwekezaji, Serikali ifufue kampuni zake za usafirishaji

    Kwa wanaokumbuka kulikuwa na kampuni za usafirishaji za kila mkoa ambazo zilikuwa na mpangilio na kufuata taratibu. Kwa mwenye kumbukumbu atutajie kampuni ya usafirishaji ya mkoa anaotoka
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu Sita Wakamatwa Ruiru Baada Ya Wahindi 3 Kuokolewa Katika Kesi Ya Usafirishaji Binadamu

    Watu sita wamekamatwa huko Ruiru, Kaunti ya Kiambu, baada ya maafisa wa upelelezi kuwaokoa raia watatu wa India waliokuwa wameripotiwa kutoweka baada ya kuwasili nchini Kenya tarehe 5 Agosti 2026. Uchunguzi wa kitengo cha Operations Support Unit (OSU) cha DCI uliwawezesha maafisa kuwafuatilia...
  10. H

    JamiiForums Tanzania ETDCO, Sonelgaz ya Algeria zaibua fursa za ushirikiano katika usafirishaji na usambazaji umeme

    ETDCO, Sonelgaz ya Algeria zaibua fursa za ushirikiano katika usafirishaji na usambazaji umeme Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme nchini (ETDCO), Bw. Raymond Mbilinyi, ameahidi kushirikiana na Shirika la Umeme na Gesi la Algeria (SONELGAZ) katika...
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mv Liemba yarudi kazini, uwezo wa usafirishaji wa abiria na mizigo waongezeka

    Meli ya MV LIEMBA, inayotoa huduma ya usafirishaji wa abiria na mizigo katika Ziwa Tanganyika, inatarajiwa kurejea katika huduma hivi karibuni baada ya kukamilika kwa ukarabati mkubwa ulioanza Julai 2024. Ukarabati huo umehusisha mabadiliko makubwa ya mifumo na miundombinu ya meli, ikiwemo...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Anaandaliwa kuwa Rais, wa kwako kuwa Afisa usafirishaji (Bodaboda)

    Chawa mmelogwa. Haya ndiyo anayoyakemea Heche na bado hamuoni ukweli wa hoja zake. Kuwa shule zetu ziwe nzuri na watoto wenu wawe na nafasi za kugombea hayo ya Isaac. Siyo kosa Isaac kugombea na akapita, lakini je na wewe wa kwako ana fursa ya kugombea? Mnamuona mchochezi. Mmelogwa... Twende...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Usafirishaji mpya wa madawa ya kulevya bila meli kujua inasafirisha madawa.

    Kila siku mbinu mpya zinabuniwa ili mradi madawa ya kulevya kufika duniani kote. Kuna mbinu mpya ambayo meli za mizigo zimejikuta zikisafirisha madawa bila kujua . Kinachofanyika ni kwamba wanatumia wale diver Meli wakati hipo bandarini au zikiwa zimepark.diver wanazama na vifaa maalumu na...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waziri Mbarawa Aagiza Baraza la 13 NIT Kuimarisha Mafunzo na Tafiti za Sekta ya Usafirishaji

    Waziri wa Uchukuzi Prof Makame Mbarawa amelitaka Baraza la Kumi na Tatu (13) la Chuo cha Taifa cha Usafirishaji kuhakikisha linasimamia kikamilifu kufanyika kwa mafunzo na tafiti zinazolenga kutatua changamoto katika Sekta ya Usafirishaji na kutoa mchango katika ukuaji wa uchumi nchini Prof...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Kituo cha Nishati na Usafirishaji Afrika Mashariki

    Tanzania tuna LNG project yenye potential ya kubadilisha uchumi wa taifa kwa kiwango kikubwa sana, halafu watu wanataka tuwe desperate kwa sababu Dangote anaweza kwenda kujenga refinery Kenya? Tanzania tayari ina: 🇹🇿LNG project, 🇹🇿EACOP 🇹🇿Bandari za kimkakati 🇹🇿SGR 🇹🇿matenki ya mafuta...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Msimu wa biashara ya usafirishaji

    🔥 USAFIRI NI BIASHARA YA MSIMU — JE UPO TAYARI KUVUNA FAIDA? 🔥 High season inakaribia kwa kasi (Juni – Desemba) — huu ndio muda ambao mabasi yanafanya pesa halisi 💰 👉 Usisubiri msimu uanze ndipo uanze kutafuta bus… utachelewa! 🚨 Weka order yako SASA Ili kufikia high season uwe tayari na bus...
  17. W

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA PARTNER WA BIASHARA – FURSA YA USAFIRISHAJI NA BIASHARA TANZANIA

    Habari wanajamii, Natafuta partner au mwekezaji kwa ajili ya kuanzisha biashara ya kuingiza na kusambaza three-wheelers (bajaj) pamoja na magari madogo ya biashara hapa Tanzania. Kwa sasa tayari kuna mawasiliano na wazalishaji wa nje ya nchi na wameonyesha utayari wa kufanya mazungumzo ya...
  18. O

    JamiiForums Tanzania TAARIFA MPYA: Kampuni kadhaa kubwa za mafuta zimesitisha usafirishaji wa mafuta kupitia Strait of Hormuz.

    Makampuni kadhaa makubwa ya mafuta pamoja na makampuni ya usambazaji wa mafuta na petroli yamesitisha kwa muda usafirishaji wa mafuta, petroli na bidhaa kupitia Strait of Hormuz kutokana na mashambulizi ya Marekani dhidi ya Iran kwa mujibu wa ripoti kutoka Reuters.
  19. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania TRC yaanza rasmi usafirishaji wa mizigo kwa kutumia container carriers SGR

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza rasmi usafirishaji wa makasha kwa kutumia reli ya Standard Gauge, hatua inayolenga kupanua wigo wa biashara, kupunguza msongamano wa mizigo bandarini na kurahisisha usafirishaji wa mizigo kwenda mikoa ya kati ya nchi. Akizungumza wakati wa kuanza safari...
  20. E

    JamiiForums Tanzania EFTA kukusanya Sh50 bilioni kwa ajili ya wajasiriamali wa kilimo, usafirishaji

    Nicomed Bohay - EFTA Taasisi ya fedha Equity for Tanzania (EFTA) imezindua hatifungani ya Sh50 bilioni kwa ajili ya kukopesha vifaa vya killimo, usafirishaji na ujenzi. Akizungumza katika uzinduzi huo leo Februari 10, 2026, Mkurugenzi Mtendaji wa EFTA, Nicomed Bohay amesema kuwa wamefikia hatua...
Back
Top Bottom