Pamoja na uwekezaji, Serikali ifufue kampuni zake za usafirishaji

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Kwa wanaokumbuka kulikuwa na kampuni za usafirishaji za kila mkoa ambazo zilikuwa na mpangilio na kufuata taratibu.
Kwa mwenye kumbukumbu atutajie kampuni ya usafirishaji ya mkoa anaotoka
 
Daah mwendokasi tu unawashinda na wametoa bus zingine zote wapo wao tu ila ndio hivyo unavyoona harafu unawashauri wawe na bus za mikoani aisee si balaa hilo.
 
Kwa wanaokumbuka kulikuwa na kampuni za usafirishaji za kila mkoa ambazo zilikuwa na mpangilio na kufuata taratibu.
Kwa mwenye kumbukumbu atutajie kampuni ya usafirishaji ya mkoa anaotoka
Unaishi dunia ya wapi wewe? Siku hizi kila kigogo aliyeko serikalini anamiliki hiyo kampuni ya usafirishaji! Halafu unasema serikali ifufue kampuni zake za usafirishaji! Zitasimamiwa na nani hizo kampuni?
 
Kwa wanaokumbuka kulikuwa na kampuni za usafirishaji za kila mkoa ambazo zilikuwa na mpangilio na kufuata taratibu.
Kwa mwenye kumbukumbu atutajie kampuni ya usafirishaji ya mkoa anaotoka
Unataka serikali ipoteze fedha. TRC yenyewe ambayo haina hata ushindani inawashinda.
 
TRC imewashinda kina nani mbona inatoa huduma za MGR na sasa SGR
 
Back
Top Bottom