Usafirishaji mpya wa madawa ya kulevya bila meli kujua inasafirisha madawa.

Usafirishaji mpya wa madawa ya kulevya bila meli kujua inasafirisha madawa.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kila siku mbinu mpya zinabuniwa ili mradi madawa ya kulevya kufika duniani kote.

Kuna mbinu mpya ambayo meli za mizigo zimejikuta zikisafirisha madawa bila kujua .
images (15).jpeg


Kinachofanyika ni kwamba wanatumia wale diver
Underwater_photograph_of_a_recreational_scuba_diver_in_Playa_del_Carmen_2006.jpg


Meli wakati hipo bandarini au zikiwa zimepark.diver wanazama na vifaa maalumu na kutengeneza mfumo wa vishikio maalumu kwa ajili kusaidia kushika mfano wa kombora ambaro lina mfanano wa submarine itayo weza kujitoa wakati meli ifikia nchi fulani.
Mfumo huu unakuwa chini ya meli kati kati Na si rahisi kugundulika kwenye radar.Wasambazi wa madawa wanajua taarifa za meli na ratiba za meli.

Meli itakapofika nchi fulani itaweza kujiondoa kwa kutumia Gps control ambayo wameshatumiwa na wauza madawa.

Je Tanzania wanajua ilo au wanashangaa.
 
Vizuri nadhan bwana ARETAS atakuwa amesoma.na kuelewa

Ila bwana ARETAS akistaafu na uchumi wa hapa na pale atakuwa kajitakia
 
Hakuna mfumo usiogundulika milele, sooner or later, technology ya kuzuia itakuwa sambamba nao.
 
Back
Top Bottom