Anaandaliwa kuwa Rais, wa kwako kuwa Afisa usafirishaji (Bodaboda)

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Chawa mmelogwa. Haya ndiyo anayoyakemea Heche na bado hamuoni ukweli wa hoja zake.

Kuwa shule zetu ziwe nzuri na watoto wenu wawe na nafasi za kugombea hayo ya Isaac. Siyo kosa Isaac kugombea na akapita, lakini je na wewe wa kwako ana fursa ya kugombea? Mnamuona mchochezi. Mmelogwa... Twende kazi.

IMG-20260717-WA0051(1).jpg
 
Kwani shida iko wapi kila mtu ana riziki lake
Hili bara usishangae kwanini umasikini upo kwa kiasi cha kutisha kumbe wajing,a sampuli yako hawajaisha.

Tatizo sio riziki bali shida ipo kwenye uduni wa huduma kama shule nzuri ambazo zitaweka ushindani sawa wa kupambania nafasi za uongozi.

Sasa wa kwako anasoma shule ambayo ina upungufu wa vyumba vya madarasa, uhaba wa madawati nakadhalika halafu bado unaona ni sawa tu?
 
Mwanangu anafundishwa kufinyanga vyungu, kusuka mifagio na mikeka akiwa amekaa chini kitu ambacho ni kumrudisha zama za mawe za kati hali wa kwao wanapiga computer simulation-practical zao ni kufanya downing ya makombora ya Iran.
 
There is no hope in Tz nigga
 
Chawa mmelogwa. Haya ndiyo anayoyakemea Heche na bado hamuoni ukweli wa hoja zake.

Kuwa shule zetu ziwe nzuri na watoto wenu wawe na nafasi za kugombea hayo ya Isaac. Siyo kosa Isaac kugombea na akapita, lakini je na wewe wa kwako ana fursa ya kugombea? Mnamuona mchochezi. Mmelogwa... Twende kazi.

View attachment 3631139
Wacha washinde CCM utakuwa kama KANU!
 
Mwanangu anafundishwa kufinyanga vyungu, kusuka mifagio na mikeka akiwa amekaa chini kitu ambacho ni kumrudisha zama za mawe za kati hali wa kwao wanapiga computer simulation-practical zao ni kufanya downing ya makombora ya Iran.
Inasikitisha sana.
 
Shida ya huyu ndugu yangu ni Ushamba.! 🤭

Jiepusheni na watoto wanaozaliwa kiprotokoli

Watapata kila wanachostahili wakati huu mbali na hapo ni msiba

Eti mwanaume unatokezaje kizazi kisichojua kesho na ukafa kwa amani.! 🤔
 
Chawa mmelogwa. Haya ndiyo anayoyakemea Heche na bado hamuoni ukweli wa hoja zake.

Kuwa shule zetu ziwe nzuri na watoto wenu wawe na nafasi za kugombea hayo ya Isaac. Siyo kosa Isaac kugombea na akapita, lakini je na wewe wa kwako ana fursa ya kugombea? Mnamuona mchochezi. Mmelogwa... Twende kazi.

View attachment 3631139
Gentleman,
sasa ikiwa kama mzazi umeamua kwa hiyari yako kumlea na kumuandaa mwanao fisadi na mropokaji kama heche, au mporomosha matusi, msusa uchaguzi au mfuata mkumbo lofa kama walivyo mamluki wengi humu jukwaani, huyo mwanao atakua hivyo hivyo tu, huna haja ya kuwaonea wivu wazazi wanaowalea na kuwaandaa wanao kua na future nzuri.

Ni vizuri kuwalea na kuwakuza watoto wetu katika maadili mema na kuwaongoza vema katika kutimiza malengo na matamanio ya ndoto zao.

Tujiepushe na wivu nonsense 🐒
 
Hili bara usishangae kwanini umasikini upo kwa kiasi cha kutisha kumbe wajing,a sampuli yako hawajaisha.

Tatizo sio riziki bali shida ipo kwenye uduni wa huduma kama shule nzuri ambazo zitaweka ushindani sawa wa kupambania nafasi za uongozi.

Sasa wa kwako anasoma shule ambayo ina upungufu wa vyumba vya madarasa, uhaba wa madawati nakadhalika halafu bado unaona ni sawa tu?
Na KILA siku mtoto sense 1500 aspoenda nayo anarudishwa nyumbani kayumba pia nikama za kulipia tuu
 
Back
Top Bottom