Tanzania: Kituo cha Nishati na Usafirishaji Afrika Mashariki

Tanzania: Kituo cha Nishati na Usafirishaji Afrika Mashariki

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Tanzania tuna LNG project yenye potential ya kubadilisha uchumi wa taifa kwa kiwango kikubwa sana, halafu watu wanataka tuwe desperate kwa sababu Dangote anaweza kwenda kujenga refinery Kenya? Tanzania tayari ina:

🇹🇿LNG project,
🇹🇿EACOP
🇹🇿Bandari za kimkakati
🇹🇿SGR
🇹🇿matenki ya mafuta kigamboni
hii inatosha kabisa kuwa energy and logistics hub ya Afrika Mashariki.

Refinery ni sehemu moja tu ya ecosystem nzima ya nishati. Kama deal halina balance nzuri ya risk na gain kwa taifa, hakuna sababu ya kukimbilia. chagua kipande unachoweza kutafuna.

Tanzania bado ipo kwenye nafasi kubwa sana ya kimkakati kupitia gas, logistics, transit na miundombinu ya uhifadhi. Geopolitics ya nishati si mambo ya kuzuka tu,huu ni mchezo wa muda mrefu wenye diversification ya leverage.
 
Panua bandari ya Tanga, mwekezaji mwingine ataweka Kiwanda cha kusafisha mafuta pale. Simlpe!
Sio kuleta siasa za kujipa moyo.
 
Back
Top Bottom